Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,963
Mimi naamini ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimtimizia haya basi roho yake itatulia..
1. Mpatie hela ya kutatua mahitaji yake. Usisubiri akuombe mana wengine kuomba hawawezi.
2. Mfikishe kileleni muwapo 6×6. Mwanamke ukimkamata kunako 6×6 basi huyo kukuacha inakua ni ngumu sana.
3. Mpe care za kutosha. Mwanamke anahitaji caring nzuri na kumuona yeye ndo kila kitu.
4.Msifie mara kwa mara. Wanawake wanapenda kusifiwa, wanakua wanajiamini sana wakipata sifa kutoka kwa mpenzi wake.
Dada zangu kuna kingine nimesahau hapo? Naamini hivyo ndo vitu vikuu.
Sasa kwa mwanamke ambae utampatia hivyo vitu hapo na bado akazingua huyo atakua hajatulia a.k.a pasua kichwa.