Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Una uhuru wa kusema pale pale kuwa tumekutana leo hii halafu unaanza kunitaka kingono inamaana umeniona mimi ni kahaba najiuza mwili?Ha haaa sasa unampangia?
Ila kuomba mbususu siku ya kwanza ndo ustaarabu wenyewe?
Be a lady and respond like one. Kwani wewe ndie mwanamke wa kwanza kwenye history kutongozwa na kuombwa gemu?! Wanaume wapo wa version nyingi kuna hawa wastaarabu halafu kuna haya mazwazwa (perverts) yeye muda wote anaona ngono tu.
So be a lady and act classy mchane kuwa mimi sio wa hivyo jiheshimu.