Wadada hawajui kula na kipofu

Wadada hawajui kula na kipofu

Trust me,
Hakuna mwanaume bahili kwa mwanamke anayejiheshimu, mtii na mnyenyekevu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka Hapa Umenena….I Totally Agree With You.

Unajua kwa kawaida mtu yeyote anagharamia kitu flani anachokielewa na kuki adore sanaa…..iwe gari / kiwanja / nguo / hata chakula.

We Men sio kwamba ni bahili “ NO WAY “ issue ni mpaka nitoe hela kwa kitu flani either kimenivutia kitabia, muonekano au sifa zake. Kwa mwanaume kumpa hela mwanamke willingly basi ni pale anapovutiwa na sifa na tabia zake.

Hamjai ona dem anaweza akawa mrembo kweli kweli ila a Man hutaki tu kumpa hela na unayo nyingi tu….hata heshima yako humpi zaidi ya kutamani kupiga na kuacha.

I once dated this gal nikawa najikuta nampaga hela tu bila hata kuombwa na bila kujuta kitu cz dem alikua na character flani hivi ya pekee sanaa (YES, Hakuwaga Omba Omba Wala Kuwa Na Tamaa Za Kishamba Na Ni Mwepesi Sana Kutoa Vyake Bila Hiana Akiwa Navyo), Daaah

(Mnisamehe Kwa Gazeti Refu)
 
Bado upo nae au ni story ndefu kidogo?
 
Wasalaaam wana jukwaa.

Hivi wanawake ni viumbe vya ajabu sana sababu hawajuwi kula na vipofu kama kichwa cha maada hapo.

Ipo hivi, mfano umemtongoza kabla hajakupa jibu amekubali au la anakupiga mzinga, kitu ambacho kinamuumiza kila mwanaume kuombwa vitu visivyo msingi. Kwani kabla yangu ulikuwa ukiishi vipi? Umemtokea tu unaombwa vocha, mara gesi imeisha, mara kusuka, inatia hasira.

Kitu mbacho hawajui ni kuwa, omba omba unamwambia mtoke anataka umtumie nauli basi hata ukimtumia hiyo nauli anaishia kulia tu na hatatokea eneo la tukio. Wakati angekuja kwa nauli yake angekuwa kachukua pointi 3 zote muhimu.

Sababu ukija na nauli yako siwezi nikakuacha sijakupa chochote, ni uongo lazima kujiongeza nikupe nauli. Mnafeli sana aisee kwenye suala hili la kuwa omba omba.

Badilikeni, hakuna mwanaume atavumilia ku date na mwanamke hana hata vocha ya buku mbili!

Asanteni.
bora umsema ukwel
 
Si Bora wewe nimetoka kuombwa kulipa gari sijui imefanya nini.

Yaani haogopi hata Shetty baby
 
Ukitafakari kwa kina utajua mapenzi ni biashara
Bora wewe umesema ukweli. Yaani kuwa nisipoomba pesa ndo nitaonekana wa maana sana. Huwa sielewi hichi kitu
 
Trust me,
Hakuna mwanaume bahili kwa mwanamke anayejiheshimu, mtii na mnyenyekevu

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua bia nakuja. Ita mafundi wakujengee mnara hapo hapo ulipo.

Na kama utakuwa umeaaona wanaoendesha ndinga Kali Wana heshima Sana. Hata ukiongea nao tu unajua hapa Kuna mwamba kakaa.

Kuna mmoja ana drive vanguard, nilimtongoza....akawa anaelekea, lkn alivyokuja kubadili gear angani nilibaki kumsifia tu. Sikutaka mambo ya katibu wa masanja.

Nilivutiwa na alivyo royal...she wore woman face. She is cool.. anayemla ana mawe na watoto wanasoma DIS.

HIVI VIKOROBOI HUKU MTAANI VINAKUGANDA KAMA MAVI YA UDAGA. Kimoja Jana kilitoka kunirushia matusi
 
sisi wanawake mara nyingi kama ikatokea mwanaume humtaki na hujavutiwa nae tunatumia mbinu yetu moja ya "kukuomba hela" mpaka ukimbie mwenyewe😆 sasa hivi hatutumii neno eti "nina mtu wangu" ni mwendo wa kukuomba pesa wewe mwenyewe utasalimu amri😕
 
Back
Top Bottom