Wadada, eti sisi mabwana zenu tuvaaje?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,738
Mimi napenda nikiona binti amevaa skirt fulani black hivi na ile blauzi nyepesi rangi kama ya maziwa hivi au nyeupe halafu kwa ndani kuwe na ile naniliu yenye matundu matundu. Awe na kamsambwanda ka ushkaji, Weeeh hapo lazima nichomoe betri.
 
special days

Akiniambia nataka siku flani upendeze, Namuita home 1 week before date aloitaka

namwambia kabati hilo hapo naomba nichagulie unataka nivaeje,viatu vile pale chagua

Kama najiskia vaa nguo mpya 1 week before namtumia hela namwambia akaninunulie

Nguo anazohisi nikivaa hiyo siku moyo wake utakua baridiiiiiiiiii.

siku za kawaida

N
avaa vile nataka mimi,apende asipende shauri lake.
 
Ok
tapatalk_1573991604350.jpeg
 
Kwangu huo ni uhuru mkubwa kumpa mwanamke.
 
Mi napenda nikiona binti amevaa skirt fulani black hivi na ile blauzi nyepesi rangi km ya maziwa hivi au nyeupe halafu kwa ndani kuwe na ile naniliu yenye matundumatundu!! Awe na kamsambwanda ka ushkaji,Weeeeeeh hapo lazima nichomoe betri......
Huu uzi bila picha, nisawa na chama kikuu kubaka demokrasia
 
Ila mabaharia hawa Dada zetu wakiwa na mishepu wakivaa mini skirt nyeusi na viatu vya visigino virefu na blauzi au kashati
Wanatokolezea sana
 
Napenda Sana baby akivaa t-shirt zile zenye kola..chini kadet au jeans na sneaker/loafers au hata sandals zile za kijanja au masai sendo ya kiume iwe black/brown

Au atupie shirt(napenda zenye draft) au Kama rangi moja iwe rangi iloyopooza chini kadet na vile viatu vyaitwa loafers sijui..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom