Wadada bwana

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,218
Reaction score
1,988
Stori za Wadada wawili ndani ya Basi

Dada 1: Je ungependa mume wa aina gani?

Dada 2: Awe bilionea

Dada 1: Je ukimkosa?

Dada 2: Awe milionea

Dada 1: Je kama hatopatikana?

Dada 2: Basi mwenye milioni anaweza kunifaa

Dada 1: Na kama hutofanikiwa kumpata huyo!

Dada 2: Mwenye laki tano

(jamaa mmoja alikuwa siti ya nyuma amelala akamnong'oneza jirani yake)
"oyaa wakifikia kwenye jelo niamshe"
 
Hapa inaonyesha ni jinsi gani Hawa wadada zetu wanatufanya sisi ni vitega uchumi vyao
 
Mwanamme ni kichwa cha nyumba! Kama hana mshiko wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…