...ana kufuli kubwa kama zile anazovaa mbuta nangaHilo sio kufuli , ni komeo bado kidogo ligonge magotini.
Nimekuelewa sana Mkuu!! Keep it up.Wadada wanajisahau sana uvaaji wako tuu unaeleza zaidi ya kuongea kwako. Unajua kabisa huyu anatangaza au kajaliwa mashallah
Hivi mtu anaanzaje kuvaa hivi halafu anaenda ofisini?? Yani kufuli lote linaonekana. Kweli biashara matangazo.
Kwani hata madukani si uwa mnaziona kwenye display
Hivi mtu anaanzaje kuvaa hivi halafu anaenda ofisini?? Yani kufuli lote linaonekana. Kweli biashara matangazo.
Kuna vingine hujaviona mkuu..Kama ni tangazo basi hili ni bango kubwa kama yale wanayoweka bara barani , maana duhhh kila kilichotakiwa kufichwa kimewekwa hadharani
Lengo ni kuwakamata wanaumeINANUKIA KWA KASI HII STAILI JAPO SIJAJUA LENGO LAKE
Wakati kaanza kukuo esha utamu ht kabla ya showHalafu wanalalama mwana hapigi shoo
Noma sana mdau..Wakati kaanza kukuo esha utamu ht kabla ya show
Wamefanyaje mkuuHawa mabinti hawa
Rough road ni mtu tu mwenyewe..Haihusiani na mavazi ya mwanadadaWanashawishi kupitiwa rough road
Nazungumzia kinachoonekana hapo ..Tanga dili sanaRough road ni mtu tu mwenyewe..Haihusiani na mavazi ya mwanadada