Wadada biashara matangazo..

Ungekuwa siyo shemu wangu ningekuambia tupia picha ya kufuli lako hapa ili tucompare na la kwake halafu tuone nani zaidi ila ndo hivyo tena![emoji1]
Nyoooo hata ungekuwa si shem nisingeweza na huu uflat wangu si kujiabisha mbele ya kadamnasi..[emoji1] [emoji86]
 

Hivi mtu anaanzaje kuvaa hivi halafu anaenda ofisini?? Yani kufuli lote linaonekana. Kweli biashara matangazo.
Anataka boss amzini ili amnunulie gari. Then amdanganye mumewe nimepewa gari kazini. Mie hapo simshangai tu huyo hadi mumewe
 
Anataka boss amzini ili amnunulie gari. Then amdanganye mumewe nimepewa gari kazini. Mie hapo simshangai tu huyo hadi mumewe
Hana mume huyo..Semea amdanganye boyfriend wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…