Wadada basi hata aibu hakuna??

Hahahahaha hahahahah aiseee humu ndani watu wana majibu ,waweza soma ukapoteza network walahi tena, nmejikuta nacheka hadi machozi "angekuwa mzuri c angekuwa na k" ahaa ww jamaa hufai hata kidgo
 
HONGERA SANAA, NI WANAUME WACHACHE WANAOJITAMBUA KAMA WEWE...SHIKILIA NDOA YAKO KWA MIKONO MITATU BABA
 
Aibu ya nini?kama mtu kakutamani kwanini asifunguke tu ukweli kukaa kimya kunaumiza!
Hizo ni kwa wazungu tu kwa kibongo bado sana
km mm ngosha uniambie unanipenda natawaza sana lbd unataka kuniambukiza UKIMWI.
Ukiwa unitega, na vitu vingine km hivyo nitakuelewa.
Lkn ukiniambia siku hiyo nitashindwa mpaka kula, nitawaza sana
 
Tumeshajua wewe ni handsome! Sasa kama wako umemwacha nyumbani na wengine wakapata huo utamu wa handsome kuna shuda gani?
 
Hizo ni kwa wazungu tu kwa kibongo bado sana
km mm ngosha uniambie unanipenda natawaza sana lbd unataka kuniambukiza UKIMWI.
Ukiwa unitega, na vitu vingine km hivyo nitakuelewa.
Lkn ukiniambia siku hiyo nitashindwa mpaka kula, nitawaza sana
Kama hutegeki nafanyeje zaidi ya kufunguka tu jaman kama hiv si tunenda pimaaaa tuuuu
 
Utalipia tangazo kwa kujipa promo humu
 
mhhhhhh
 
Aisee....kwa mtindo huu nahisi kama tuna safari ndefu kidogo ya kujikwamua kutoka kwenye hii poverty trap as a nation...ngoja niendelee kufungua bongo yangu !!
 
hizo ni dalili za woga
wafate waambie ukweli tu. mbele ya bosi wao kua kufatwa fatwa hutaki....
maana sisi hatukujui pia hatujui uzuri wako
kwahiyo hatuwezi ku-judge...
*usirushe mkuki kichakani wakati adui unamuona kakaa uwanjani*
 
mbomna na ninyi mnawatakaga wake za wenyewe bila haya jin o kwa meno
 
Wanawake wana pepo now days,hata aibu hawana imefungiwa kwenye box
 
Una mke nyumbani mmh mke kitu gani weye hata sisimizi ana mke wake
 
Since 2012 teh tupe updates ndoa ishakua kuukuu bado hugongi nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…