Wadada bado nawakumbusha kuwa

Wadada bado nawakumbusha kuwa

Idadi ya watu duniani = 7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaume = 2.2 billion

Kati ya wanaume 2.2 billion
1 billion wameshaoa tayari
Million 200 wapo jela na wengine machizi.
[emoji117] wanabaki billion 1

Kati ya hao billion 1
Million 500 hawana kazi
[emoji117] wanabaki million 500
Kati ya hao
5% = mashoga (gays)
3% = walokole
10% = jamaa zako
40% = watoto
30% = vijana
15% = waliobaki wana umri zaidi ya miaka 66.

Sasa wewe endelea kukataa wanaume sasa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mwongo wewe.

Weka link ya data zako
 
Waludi Beijin wakaJadili haki sawa kwa kila mwanaume aoe wanawake 4
 
Kwa data hizi wanaume endeleeni na uzinzi wenu, na mtaendelea kupangwa kama kawaida na maambukizi mtayapata kama kawa! Na ndoa zenu mtaendelea kuzivuruga kijinga jinga...
 
Back
Top Bottom