Wadada baadhi yenu hamna shukrani

Wapi kenda kumi wote karudi mmoja?kijana hizi tabia mbaya toka enzi za Yesu si wote watoa shukran.ni wajinga wapotezee tu ukishatoa msaada songa mbele
 
Sasa Nyakati Hizi Za Mh.Jpm Sijuni Nani Wa Kumchuna Maana Njia Zote Za Wizi Zimeshikwa Sasa Mwanaume Akikupa Elfu10 Lazima Useme Asante Nyingi Ili Kesho Ufaidike Tena Hahahahaha
 
nimependa ulichoandika kaka na Mimi. niliwah pitia huko huko ila sa ivi napenda kwa akili sizipi nafas hisia nikiona hakuna mwelekeo napotezea faster kosa la jinai kumbembeleza mtu asiejitambua na asietambua thamani yako alafu bora awe waz sasa, kuna watu wanazan wameumbwa kuhudumiwa na Ku be cared pasipo kutoa appreciation as if wewe ni mzaz wake, hua nashangaa hata baadhi ya ndugu hujipa haki ya kusaidiwa as if ni she ria kumbe ni favour tu
 
duu ulimchanalive hahaha
 

mkuu umenifurahisha hahahahh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…