Wadada baadhi yenu hamna shukrani

Ujumbe uwafikie lakn mi naamini kila mwanaume lijali limemkuta hili
Duh!inatia hasira sana unajitoa kwa mtu kwa hali na mali mwenzio anakufanya chumaulete hana hisia kama unavyo m feel yeye ila mara nyingi huja kujutia wao coz wengi wao hawana vyanzo vya uchumi ukibwaga manyanga wanaanza kuomba huruma yako.
 
Ukiona mwanamke anakupiga vizinga ujue hakupendi, hiyo ndo silaha kubwa naitumiaga kufukuza ving'ang'anizi tena sio vizinga mzinga mrefu hadi ukiona namba yangu unatetemeka.
Nakuamini kabisa dadangu kwa hilo anayekupenda hata mizinga hutaiona isipokuwa kwenye mambo ya msingi na inaeleweka.
 
Hahahahaha ayayaya mamaayangu
 
mi nimependa penye SENTENSI YA "WAKAKA". Kuna watu wana-asili ya kuto kukata tamaa hata ktk kung'ang'ania penzi!
 
Asante nashukuru Benny utani utani umenitoa kweli teh,Mungu akubariki,ulipopunguza pakaongezeke mara mia,akakufungulie mlango wa kipato mwaka huu ukawe wa neema.....


Hahahaha....

Quote hii imefanya week end yangu ipendeze hahaha na nikweli unajua kila neno jema la shukrani

Sijui hata nimalizie na neno gani hapa!
 
Mimi nilikuwa na ninayemjali haswaa na sikuwa hata na kazi ni kutafuta tu hela kwa namna mbalimbali ila hakuthamini msaada wangu na alikuwa na uhusiano na Ex wake ambaye aliniambia wameachana.

Nimeamua kuachana naye hivi majuzi ila message zake haziishi kuingia kwenye simu yangu ila msimamo ni huu huu kwasababu keshanichosha,sasa hata afya yangu inarudi kwasababu nilipungua kwaajili yake.

Najipa moyo mabinti wapo wengi tu.
 
Ukiwa na mtiririko wa ufahamu na mawazo yenye kupelekea maamuzi kama haya utakuja kuwa tajiri wa mali na hekima hata mm nimepitia uzoefu wako thank God i found my dream girl na am happy and loved.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…