PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Ndani kuna jua?.Unaanikaje nguo ya ndani nje ni ukosefu wa akili
Anikeni nje zikauke kwa jua msisite kutokana na maneno ya watu, itaepusha fungus pia ni nguo kama nguo nyingineNdani kuna jua?.
Wapashe!!! Watu ndo maana kila siku UTI kisa kuvaa uvundo. Chupi inabidi ianikwe juani halafu ni vizuri kunyosha kwa moto number 1 ili kuua kama kuna wadudu kama wale inzi wanaotaga kwenye nguo. Siwezi anika chupi ndani. Ukiona hivyo ujue ni zile zina ramani ya dunia kwa chini.Anikeni nje zikauke kwa jua msisite kutokana na maneno ya watu, itaepusha fungus pia ni nguo kama nguo nyingine
Wasiogope waanike wakiwa kifua mbeleWapashe!!! Watu ndo maana kila siku UTI kisa kuvaa uvundo. Chupi inabidi ianikwe juani halafu ni vizuri kunyosha kwa moto number 1 ili kuua kama kuna wadudu kama wale inzi wanaotaga kwenye nguo. Siwezi anika chupi ndani. Ukiona hivyo ujue ni zile zina ramani ya dunia kwa chini.
nyie ndo mnatembea na mafangaz ya kwny.....badilika mkuu,kama vest unaanika nje nn kinachokushinda kuianika kyupi nje?au imetoboka?Unaanikaje nguo ya ndani nje ni ukosefu wa akili
Mmmh hiyo ramani hutokana na niniWapashe!!! Watu ndo maana kila siku UTI kisa kuvaa uvundo. Chupi inabidi ianikwe juani halafu ni vizuri kunyosha kwa moto number 1 ili kuua kama kuna wadudu kama wale inzi wanaotaga kwenye nguo. Siwezi anika chupi ndani. Ukiona hivyo ujue ni zile zina ramani ya dunia kwa chini.
Wanawake ni uti ni marafiki wa kudumuWapashe!!! Watu ndo maana kila siku UTI kisa kuvaa uvundo. Chupi inabidi ianikwe juani halafu ni vizuri kunyosha kwa moto number 1 ili kuua kama kuna wadudu kama wale inzi wanaotaga kwenye nguo. Siwezi anika chupi ndani. Ukiona hivyo ujue ni zile zina ramani ya dunia kwa chini.