PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
- Thread starter
- #21
Wewe hujaelewa[emoji5]iyo stori ya jamaa kufumwa akiwa na viatu virefu vya kike ndani mwake imeshasimuliwa zaidi ya mara moja humu JF.
ahsante kwa kutudanganya
Wewe hujaelewa[emoji5]iyo stori ya jamaa kufumwa akiwa na viatu virefu vya kike ndani mwake imeshasimuliwa zaidi ya mara moja humu JF.
ahsante kwa kutudanganya
[emoji23][emoji23][emoji23]Kianika chupi nje n sawa kama n geti kali lakini uswahilini utaikuta imewekewa dawa ukivaa tu papuchi inataka dusheeee na sio aina zote za chupi utaanika nje kuna michupi mikubwa ukianika utashangaa watu wanajaa mtaani na kuipiga picha
Vya kwakeAseme tuu ukweli viatu virefu ni vya nani!
Nilivyo na wivu nisinge elewa aisee,yaani akanunue viatu virefu kwa ajili ya kuanikia nguo!kwa nini asilegeze kamba za nguo ili ziwe fupiVya kwake