Wadada acheni ulevi wa Mapenzi

DIKASHWA

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
378
962
Nimegudua wanawake wengi wanalewa kwa kupendwa,unakuta jamaakajikunja kapenda mwanamke, anamjali, anamtimizia baadhi ya mahitaji yake, anafanya lolote ili awe na furaha na kujihisi kuwa anapendwa.anamjulia hali kila majira just for hi it doesn't implicate any cost but sometimes inaonesha some high degree of care na commitment to her, akiona gift nzuri ambayo anauwezo nayo anamnunulia whatever he see that can make his lovely so happy ana incur cost .But on the other side huyo mwanamke akishajiisi anapendwa anaanza kumwona jamaa kama fala, sometimes he can text her on her watsap ameiona lakini hajibu, anampigia simu hapokei,akimwuliza kaswali ka upendo anatoa majibu ya mkato. Some times you girls angalia mtu anayekupenda,kupendwa ni baraka,kupendwa ni tunu kuna wenzenu wanatamani hata kutongozwa lakini hyo bahati hawajaipata,wengine wanashinda makanisani wanabubujikwa na machozi wakiomba kupendwa, wanashinda kariakoo kwa wachina na kinondoni kwa wakongo wanatafuta mikorogo ya kufanya wawe na mivuto,wengine wanashinda kwa masangoma muda mwingine wagongwa nao kisa kutafuta kupendwa.Kumbuka mkishafikisha miaka 30 ndo jua lishazama,unasubiri muujiza,
Mtu kama humpendi au hujaridhika naye don't pretend, hakuna substitute kwenye mapenzi humpendi achana naye mwambie mapema sio unaanza kumretea mapicha ya kihindi.
Acheni ulevi wa mapenzi nyie,sometimes your not beautiful kivile but mshikaji kakuelewa na kukuaproach,we tu kupendwa unajiona ndo mzuri kuliko wanawake wote wa dunia hii.
Ukipendwa pendeka ,huyo jamaa unayemchezea na kumwona fala akiondoka inawezekana ndo wa mwisho, na miaka 30 ndo hyo,utaishia kucheza kwaito za wenzako mammae
 
94ec142b53ba44b837fc165be83e034c.jpg
 
Kwa hizo jazba kaishavurugwa mtu tayari,,,pole sana mkuu maisha ndivyo yalivyo mpende akupendae asiekupenda mwache apige mbaliga zake
 
  • Thanks
Reactions: dtj

Similar Discussions

Back
Top Bottom