sio mbaya jamani english is not our languageungeandika kiswahili tu.....ungeeleweka zaid
ungeandika kiswahili tu.....ungeeleweka zaid
Hakuna mchaga atakaekuoa. Rudi shule ukamalize elimu yako kwanza.
Hakuna mchaga atakaekuoa. Rudi shule ukamalize elimu yako kwanza.
Ha ha aha aaaaa eti "kupunusa" umenichekesha mpaka machozi hili neno umelitoa wapi mtoto wa kike!!!?????
Tulilitumia shule kwa kamari mwitu ya maharage yaliyobanjuliwa cotyledons!!!!!!
Ha ha ahaaaaaaaa maji thing wil cost you big time mamz we niambie ukweli tu tangu mwanzo kitaeleweka la sivyo clique and baaang ndo habari ya mujini
tatizo lugha hyo ilikuja na meli ingekuja kwa ndege ingekua rahisi!
hapana mkuu tuwe ki mental emencipated zaidi tusi be neo-colonised so far english is not our language so long as ujumbe umefika !!kwa sababu bado tunamkumbuka muasisi wetu Nyerere chukua hii quote yake hapa chini
"tunao waswahili ambao jambo la kijinga likizungumzwa kwa kingereza,wanaliona la maaana sana"
qwi qwi qwi qwi ha ha ha mimi simo humo........hee nahitaji dawa ume crack my ribNdo ulimbukeni sasa......kwann usiwe proud na kiswahili chako???au balaa tu!!!!Afried ndo nn???me nkajua hyo bastola ndo inaitwa hivyo
Na nyie akina baba muache hiyo ya tuacha na kwenda zenu hukooooo.
Mkiambiwa ukweli mnazingua acha twende hvyo hvyo.......afe mmasai au afe Ng'ombe lazima kieleweke!!!!
hapana mkuu tuwe ki mental emencipated zaidi tusi be neo-colonised so far english is not our language so long as ujumbe umefika !!kwa sababu bado tunamkumbuka muasisi wetu Nyerere chukua hii quote yake hapa chini
"tunao waswahili ambao jambo la kijinga likizungumzwa kwa kingereza,wanaliona la maaana sana"
qwi qwi qwi qwi ha ha ha mimi simo humo........hee nahitaji dawa ume crack my rib
Nunua wheel chair kabisa na mtu wa kukupa figo
sio mbaya jamani english is not our language
una utani kweli wewe heaven on earth
mi simo bhana. Naenda mjini sasa hivi
clique and baaang ndo habari ya mujini
Lugha yenyewe imepanda ndege hyo......balaa tu!!!!!Senkyu vere machi
ungeandika kiswahili tu.....ungeeleweka zaid