Wadada acheni kuringa uzuri wako una mwisho

Some girls are stupids with fake standards .... ona hiyo screenshot niliyotuma hapo juu....

Imagine huyo anaejibu hivo hana kazi, katafuta kakosa na anakaa kwao

bad enough nilikuwa namtafutia kazi April aanze offcn kwetu huyu si ndo angeniua abebe nafasi yangu.
Tatzo lako ulijipa majukumu yasiyo yako. Yy anakaa kwao,, hyo 100k sio jukumu lako kumpa hyo umeingilia kazi ya wazaz wake na yy ndo mana alikua anakunyanyasa sababu alikuona boya.

Pili, unamtafutia kazi,,,, yaan angeipata hyo kazi ndo ilikua tiketi rasmi ya kukuacha mazima.

Wanaume tusipende kujitwisha majukumu ya wazazi wa hawa mabinti.
 
Umenishtua sana
Screenshot_20230202-204645.jpg
 
Pigo za hivi hahahahaha kazi unayo mwanangu kazi unayo....

pisi hapo inaona inababaikiwa sana.... hapo huyo dogo alikuwa mainchick na Kwa mwez nampa 100k ya Vocha yeye yupo tu home....

sasa bhana hapo alijibu hivo sababu tu eti sikumpa 100k but nilimpa 50k akatumia ovyo....ili last month nimpe simu ya 350 na niliorder tayari...

Weee nikasema hanijui huyu ... Nimevuta best ake na mambo yapo poa vibaya sana

Depal hii ndo ile main niliyosimulia sikuile.View attachment 2537863
Haha Dejane alisema wanaume mnaolalamika daily kuhusu mahusiano mademu zenu hawajui kuandika 😂😂😂😂

Aloooooh
 
Pigo za hivi hahahahaha kazi unayo mwanangu kazi unayo....

pisi hapo inaona inababaikiwa sana.... hapo huyo dogo alikuwa mainchick na Kwa mwez nampa 100k ya Vocha yeye yupo tu home....

sasa bhana hapo alijibu hivo sababu tu eti sikumpa 100k but nilimpa 50k akatumia ovyo....ili last month nimpe simu ya 350 na niliorder tayari...

Weee nikasema hanijui huyu ... Nimevuta best ake na mambo yapo poa vibaya sana

Depal hii ndo ile main niliyosimulia sikuile.View attachment 2537863
Hahaha
Demu wako anauliza kama unajielewa? Huyo mtoto mbona hana adabu?

Mkuu sorry
Una miaka ngapi?
 
😂😂😂😂😂 halaf wanajisifiaga wana mademu classic
😂😂 panyeshe tuone panapovuja..
mahusiano yawashinde
Waendelee kutuletea chats tuone vituko
 
Pigo za hivi hahahahaha kazi unayo mwanangu kazi unayo....

pisi hapo inaona inababaikiwa sana.... hapo huyo dogo alikuwa mainchick na Kwa mwez nampa 100k ya Vocha yeye yupo tu home....

sasa bhana hapo alijibu hivo sababu tu eti sikumpa 100k but nilimpa 50k akatumia ovyo....ili last month nimpe simu ya 350 na niliorder tayari...

Weee nikasema hanijui huyu ... Nimevuta best ake na mambo yapo poa vibaya sana

Depal hii ndo ile main niliyosimulia sikuile.View attachment 2537863
Duuuuuuh
 
Back
Top Bottom