Wadada acheni kuringa uzuri wako una mwisho

Wadada acheni kuringa uzuri wako una mwisho

Some girls are stupids with fake standards .... ona hiyo screenshot niliyotuma hapo juu....

Imagine huyo anaejibu hivo hana kazi, katafuta kakosa na anakaa kwao

bad enough nilikuwa namtafutia kazi April aanze offcn kwetu huyu si ndo angeniua abebe nafasi yangu.
Bro mnapondeaga wanawake wa JF kumbe wa kwenu ndio hao waswazi pro, hawajui hata kuandika vizuri ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Haha Dejane alisema wanaume mnaolalamika daily kuhusu mahusiano mademu zenu hawajui kuandika

Aloooooh
fact mdogo mdogo hivi....yupo kwenye peak yani nashukuru siwezi mtafuta sababu bestie amenikamata na anapotential so najitahidi kufocus nayeye.
 
Hahaha
Demu wako anauliza kama unajielewa? Huyo mtoto mbona hana adabu?

Mkuu sorry
Una miaka ngapi?
mkuu nilionesha upendo uliozidi uwezo, na hapo alikuwa anajua siwezi pindua.

Nipo na 26 tu na binti yupo na 20 ameingia mwaka huu.

she is not well raised, ametokea family isiyo bora nimejitahidi sana mbadilisha awe wakishua na status imeshindikana..
 
halaf wanajisifiaga wana mademu classic
ni men wachache sana wanadate wanawake classic... Kuna ile deep down nature hiyo haiondoki...
kwenye shida hao classic wanakuwa vibungo wanakugeuka hauamini.
 
Hahaha
Demu wako anauliza kama unajielewa? Huyo mtoto mbona hana adabu?

Mkuu sorry
Una miaka ngapi?
na nilikwambia last time natoka na bestie ake sio kwa kupenda lakini kwa kulazimishwa na tabia zake.
 
Ila wanawake wana roho ngumu sana.

Kumuandikisha kidume kizima bonge la essay siku ya J2 sio jambo dogo.

Ukute jamaa saa hizi kapigiwa simu ya 'my nimekumisi' kasahau hata uzi wake yupo busy anamsifia demu kuwa wewe ni mzuri maisha yako yote hata ukizeeka.
 
Mwanaume ukijaliwa kuwa na hela usidhania utamtoboa kila mwanamke!!!!.
Utawatoboa haohao watoto wa shangazi zako wenye kupenda pesa kama wewe
Amejaliwa na nani kuwa napesa? Waliojaliwa nenda forbes utawaona. Na hawana time na wanawake kila dakika.

Jarida hilo lina top 100 nje ya hapo utakutana na madalali wa uchi.
 
Pigo za hivi hahahahaha kazi unayo mwanangu kazi unayo....

pisi hapo inaona inababaikiwa sana.... hapo huyo dogo alikuwa mainchick na Kwa mwez nampa 100k ya Vocha yeye yupo tu home....

sasa bhana hapo alijibu hivo sababu tu eti sikumpa 100k but nilimpa 50k akatumia ovyo....ili last month nimpe simu ya 350 na niliorder tayari...

Weee nikasema hanijui huyu ... Nimevuta best ake na mambo yapo poa vibaya sana

Depal hii ndo ile main niliyosimulia sikuile.View attachment 2537863
Kwa kifupi anasema vieleavyo vimeundwa kwa mujibu wake vimeundwa na pesa sio Mungu. Upo..?
 
Pia pole mkuu... sikuzote sisi wanaume ndio tunatengeneza hizo standards maana unaingia kwa gia ya kusifia kupita maelezo mbeleni lazima ilete shida.....

ila kiuhalisia unawezakuta hata huyo manzi sio mkali kiasi hicho, mimi nikituma picha ya huyo girl huku utashangaa....but nilikosea mwenyewe kwa kumpa silaha kali

Siku namuacha alileta hizo pigo...nikapita zangu alafu kesho yake tu nikaanza mahusiano na shem and nashukuru ananidham na muelewa sana
 
๐—จ๐—๐—จ๐— ๐—•๐—˜ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—œ๐—ก๐—ง๐—œ ๐—ช๐—ข๐—ง๐—˜

Ukijaliwa kuwa ๐— ๐—ฆ๐—œ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜. Kuna wanaume hawasumbuliwi na ๐—จ๐—ฅ๐—˜๐— ๐—•๐—ข wako kama unavyodhani, uzuri wako hausaidii kitu na utashangaa ๐—ป๐—ผ ๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ถ๐˜€ ๐—ฝ๐—ฎ๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ฎ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป.Watu utakaowapata ni walewale wenzio ๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ข๐—๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—”, walamba ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ฆ hawana ๐—™๐—จ๐—ง๐—จ๐—ฅ๐—˜ utabaki ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ๐˜„๐—ฎ bure kila siku kwa kudhani urembo wako ni kivutio cha ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—˜๐—ก๐—š๐—ข.

Ukipata ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜ anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu ๐——๐—”๐—ก๐—”๐——๐—”๐—ก๐—”, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni ๐— ๐—ญ๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—นa๐—ฎ๐—ต! hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako ๐— ๐—›๐—˜๐—ฆ๐—›๐—œ๐— ๐—จ, maana ukitumia urembo wako kusumbua watu hakuna ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜ atakuhitaji.

Sasa wewe endelea kujikuta ๐—ฆ๐—ฃ๐—˜๐—–๐—œ๐—”๐—Ÿ kwa uzuri wa sura na umbo na kuwa fanya ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜ kama ๐—”๐—ง๐—  yako utajikuta umeolewa na ๐—ž๐—œ๐—ข๐—ข cha chumbani kwako, maana hicho ndo ๐—ž๐—œ๐—ก๐—”๐—ž๐—จ๐——๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” sana kwamba we ni ๐— ๐—ฅ๐—˜๐— ๐—•๐—ข.

๐—ช๐—”๐—ง๐—–๐—› ๐—ข๐—จ๐—ง ๐— ๐—ฌ ๐——๐—˜๐—”๐—ฅ drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, wanaumia sema hawasemi tu, machozi yao kama ya samaki. ๐—๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—˜ ๐Œ๐›๐š๐๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ž ๐Œ๐ญ๐š๐ค๐จ๐ฌ๐ฐ๐š ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐จ๐š ๐Œ๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐š
Vipi tena umepewa a big NOOOOO?
 
mkuu nilionesha upendo uliozidi uwezo, na hapo alikuwa anajua siwezi pindua.

Nipo na 26 tu na binti yupo na 20 ameingia mwaka huu.

she is not well raised, ametokea family isiyo bora nimejitahidi sana mbadilisha awe wakishua na status imeshindikana..
Kwa miaka yake ya 20 angefanya kazi ya nn sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐—จ๐—๐—จ๐— ๐—•๐—˜ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—œ๐—ก๐—ง๐—œ ๐—ช๐—ข๐—ง๐—˜

Ukijaliwa kuwa ๐— ๐—ฆ๐—œ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜. Kuna wanaume hawasumbuliwi na ๐—จ๐—ฅ๐—˜๐— ๐—•๐—ข wako kama unavyodhani, uzuri wako hausaidii kitu na utashangaa ๐—ป๐—ผ ๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ถ๐˜€ ๐—ฝ๐—ฎ๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ฎ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป.Watu utakaowapata ni walewale wenzio ๐—ช๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ข๐—๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—”, walamba ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ฆ hawana ๐—™๐—จ๐—ง๐—จ๐—ฅ๐—˜ utabaki ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ๐˜„๐—ฎ bure kila siku kwa kudhani urembo wako ni kivutio cha ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—˜๐—ก๐—š๐—ข.

Ukipata ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜ anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu ๐——๐—”๐—ก๐—”๐——๐—”๐—ก๐—”, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni ๐— ๐—ญ๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—นa๐—ฎ๐—ต! hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako ๐— ๐—›๐—˜๐—ฆ๐—›๐—œ๐— ๐—จ, maana ukitumia urembo wako kusumbua watu hakuna ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜ atakuhitaji.

Sasa wewe endelea kujikuta ๐—ฆ๐—ฃ๐—˜๐—–๐—œ๐—”๐—Ÿ kwa uzuri wa sura na umbo na kuwa fanya ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—จ๐— ๐—˜ kama ๐—”๐—ง๐—  yako utajikuta umeolewa na ๐—ž๐—œ๐—ข๐—ข cha chumbani kwako, maana hicho ndo ๐—ž๐—œ๐—ก๐—”๐—ž๐—จ๐——๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” sana kwamba we ni ๐— ๐—ฅ๐—˜๐— ๐—•๐—ข.

๐—ช๐—”๐—ง๐—–๐—› ๐—ข๐—จ๐—ง ๐— ๐—ฌ ๐——๐—˜๐—”๐—ฅ drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, wanaumia sema hawasemi tu, machozi yao kama ya samaki. ๐—๐—œ๐—ง๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—˜ ๐Œ๐›๐š๐๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ž ๐Œ๐ญ๐š๐ค๐จ๐ฌ๐ฐ๐š ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐จ๐š ๐Œ๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐š
Acha ujinga Fanya yako, mwanamke kitu gani? nenda uone Malaya warembo kuliko huyo demu wako anae kusumbua kichwa namna wanavouza mbususu na Kwa mpalange Kwa buku mbili.

Kwanza unalaum Bure tuu wakati wanawake wapo wengi wamejaa, unajiokotea tuu, achaga ushamba wa kizamani
 
Mi huwa nawashangaa wanaojifanya wapo kwenye mahusiano. Madem zao nakula mpaka nageuza Kwa mpalange,

Na madem waliopo kwenye mahusiano nakulaga kirahisi tuu Tena nawatafuna pande zote ka samaki.

Sitakagi mahusiano Mimi na sinaga Wala sipotezagi muda kubembeleza mahusiano zaidi ya kukukula upite Kule.
 
Back
Top Bottom