Wadada acheni kunywa pombe

Uko sahihi kabisa,mwanamke anywe pombe kiasi akizidisha haipendezi .Kwa kifupi pombe n shetan na n chanzo cha tabia mbaya mf umalaya
 
Mbona kama unanisimanga mimi? Manaake nikigonga light silewi hadi nisafiri!
 
Na wa dizain hiyo hujue gusa unate, wanawake wanaotumia kilev niwepes xna kuvua chup!!!! Hata awe mke WA mtu atavua baadaye atajidai Akil imemrud ila wanananiliwa hivyo xna hata awe Dr flan.
Dont generalize problems za dem wako! Kama yeye chupi chini akilewa wengine tunajimudu!
 
Pombe hatuachi, nini wine dompo buku ten hiyo buku ten nimekunywa viroba jogoo 10 na chenji napewa.... Tafadhali tena tafadhali sana

Shoga kesho si kama kawaida kiwanja kupiga vyombo ama nenee
 
drink to forget, never forget to drink ...
 
Cha msingi n kujua kuji-control tuuh...ivyo tatizo no control kwa wanawake walevi.
 
Uko sahihi kabisa,mwanamke anywe pombe kiasi akizidisha haipendezi .Kwa kifupi pombe n shetan na n chanzo cha tabia mbaya mf umalaya
ahsante kwa kunielewa.huo ndio msingi wangu.
 
Pombe hatuachi, nini wine dompo buku ten hiyo buku ten nimekunywa viroba jogoo 10 na chenji napewa.... Tafadhali tena tafadhali sana
umepinda......viroba vya wanaume family!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…