juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Kwani raha ya ku-do si wataiona woteWewe unataka amlishe nani ili wewe ukabembee free?ukiona vyaelea..vimeundwa.
If you can't sweat for her at work, Dont sweat on her chest..Yani imekuwa ni kero,unakuta demu unamtongoza mchana na anakubali.ila cha kushangaza wewe mwanaume kabla hujaomba tunda ila yeye unakuta usiku anakupiga mzinga,utasikia naomba vocha,mara sijala.sasa hadi mtu unajiuliza kwamba ,kwani hapo mwanzo kabla mi sijamtongoza ina maana hela ya kula alikuwa anatoa wapi? Na vocha pia alikuwa anatoa wapi? Wanawake jaman acheni njaa hizo
[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji126] hawapo wanatak a utelezi wa bureeAiseeee.....kwa namna hii.........
Wanaume wameisha kabisa.......hawapo tena.......
utamuua mtoa uzi veveeIlo sio jambo la ajabu sbb kizur lazima ugaramie jomba weh unataka ule tunda tu bure bure hapan toa hela eeh toa hela yan ukitaka azid kupagawa toa hela weh toa hela kakupib tuma vocha yan toa hela hela hela hela hela tu.....