Wadada acheni hii kitu

Mimi mwenyewe sio kwamba nilikuwa na future naye hapana nilitaka kupita tu.
 
Mabaharia wenzio hela hata ya vocha haitoki kabla hajaliwa mtu, akija ghetto au lodge atanunuliwa chakula akishaliwa ataambulia nauli,akitaka hela unamuuliza kwani umeniuzia utasikia hapana basi kama unashida hela utapewa siku nyingine,BTW nakupongeza kumtumia mama yako hela walau akuombee hilo pepo la kuhonga hovyo likutoke
 
Kuomba mzigo tu umetumia mwezi na haujapewa na bado umechoma 80k?
Na wakati ungeenda direct na kumtajia bei ya kiananchi angekuja siku hiyo hiyo?
 
Kuomba mzigo tu umetumia mwezi na haujapewa na bado umechoka 80k?
Na wakati ungeenda direct na kuntajia bei ya kiananchi angekuja siku hiyo hiyo?
Tatizo Alikuja na gear za kutongoza nataka kujenga familia na wewe ndio Maana anapasuliwa

Siku hizi nikiomba number tu akaniambia anaomba hata 5000 namwambia kuna 30000 hapa njoo unipe mzigo tusizinguane sana
Analeta ujeuri Leo kesho unashangaa Anakuulizia upo wapi nije tena anasisitiza hiyo hela niikute
na ni pisi Kali huwezi kudhania
Sasa ukijifanya mstaarabu ndio atakua anajificha nyuma kusikilizia maongezi ya Shem zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…