Wadada acheni hii kitu

Siku hizi wanaume wengi hawaringi kutoa yaani tunajifunza kuhudumia family ila sasa utata unakuja mwanamke akiwa yupo kwenye mahusiano kimaslahi
Ok
 
Duuuuhhh hiyo kali. Ila si ajabu mashine yenyewe ikawa imejaa maji
 
Sasa mkuu hiyo elfu 80 sii ungeenda kwa malaya tuu unajipigia zako kwa raha bila stress. Ukimaliza unaendelea na juhudi za kujikwamua kwenye umaskini
 
Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale

 
Mwanamke ambaye hujawahi hata kumkiss hatakiwi kula hela zaidi ya vocha,akisema hana salio muunge kifurushi cha wiki uhakikishe mpaka muda wa kifurushi unaisha uwe umeshamla.
 
Heshima yako Mr transporter

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…