Wadada acheni hii kitu

I still put my trust on you.
you are clean, and no maringo ringo on giving mzigo to the one you love
Dirty mindset
all you are thinking about is just mzigo can't you survive without mzigo!!!???????
 
Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale
Wewe ni muuaji, usilipe ubaya kwa ubaya! Litakurudia
 
Kwenye mahusiano siwezi kutoa pesa wakati hata **** sijapewa , ukikuta inanuka na inatoa harufu? Au ndio ukakuta mtela .... Hapo itakuwaje..... Huo ni udhaifu kila unapoombwa hela unatoa
 
Na wewe uachege ushamba mkuu siku hizi hatuongi hivo, mwisho wa kuonga ni 5000 tu.
 
Hivi mama yako angefanyiwa bleeding au dada zako binti yako ungefurahi, wanaume msio na hela mna roho mbaya sana
Mshkaji kafanya poa tu,we jamaa humpendi kwa Nini ukule mpunga wako,just tell him,usihangaike Mimi sikukubali,so Basi yameisha?
 
Nikisha kula mzigo nasepa sitoi hela Tena,Mimi nikupe hela,Yule nae akupe hela,na Yule pia akupe.noooo najua una wengi,tukishafanya naniluu kwa Jeri Tena.
 
Nikisha kula mzigo nasepa sitoi hela Tena,Mimi nikupe hela,Yule nae akupe hela,na Yule pia akupe.noooo najua una wengi,tukishafanya naniluu kwa Jeri Tena.
Ndio maana tuna watu wengi haputi kitu mpaka utoe hela ukishatoa hela hata ukienda fia mbele ya safari hatujali kabisa, money comes first
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…