Wadad wa JF na tabia zao....!!!

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Firstlady1:- anapenda sana siasa,ni mwepesi wa kuelewa na mgumu wa kusadiki. Rose1980:- anapenda sana mambo ya pwani,ni mcheshi na mkarimu sana. Pearl:- ni mtu wa watu,asiependa makuu na mwenye tabasamu yakinifu. Daughter:- ni mpole,asiyependa majibizano na asiyependa vijiwe vya kusutana. Chetuntu:- anapenda sana story,ni mwongeaji sana na ni mtu wa kujichanganya. Husninyo:- ni mwenye busara na mpenda watu sana. Miss Judith ni mtoa ushauri mzuri sana. Shosti:- ni mnoko sana,ukimpa ujumbe hafikish kw mlengwa
 
Umejuaje kama hao ni wadada? ID zao? Avatar zao au? Angalia utakuja tongoza midume humu...shauri yako!
 
Shost hakupeleka kilio kwa Lizzy...hahahaha
bado unaae tu kwa mlango wa nyuma mpaka kieleweke
 
Mimi sio mdada jamani.
Natangaza rasmi kuwa nimeamua kubadilisha jinsia yangu.
 
Firstlady1:- anapenda sana siasa,ni mwepesi wa kuelewa na mgumu wa kusadiki. Rose1980:- anapenda sana mambo ya pwani,ni mcheshi na mkarimu sana. Pearl:- ni mtu wa watu,asiependa makuu na mwenye tabasamu yakinifu. Daughter:- ni mpole,asiyependa majibizano na asiyependa vijiwe vya kusutana. Chetuntu:- anapenda sana story,ni mwongeaji sana na ni mtu wa kujichanganya. Husninyo:- ni mwenye busara na mpenda watu sana. Miss Judith ni mtoa ushauri mzuri sana. Shosti:- ni mnoko sana,ukimpa ujumbe hafikish kw mlengwa[/

inaonekana umebigwa kibuti na Shosti wewe!
 
ah ah ah thx sana!sijui umefikiria nn duh!wish to meet ladies woote wa hapa:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Firstlady1:- anapenda sana siasa,ni mwepesi wa kuelewa na mgumu wa kusadiki. Rose1980:- anapenda sana mambo ya pwani,ni mcheshi na mkarimu sana. Pearl:- ni mtu wa watu,asiependa makuu na mwenye tabasamu yakinifu. Daughter:- ni mpole,asiyependa majibizano na asiyependa vijiwe vya kusutana. Chetuntu:- anapenda sana story,ni mwongeaji sana na ni mtu wa kujichanganya. Husninyo:- ni mwenye busara na mpenda watu sana. Miss Judith ni mtoa ushauri mzuri sana. Shosti:- ni mnoko sana,ukimpa ujumbe hafikish kw mlengwa

Hapa iko namna lazima kuna mtu
anapigiwa speed
Utongozaji mwingine........Mh!!
 
Firstlady1:- anapenda sana siasa,ni mwepesi wa kuelewa na mgumu wa kusadiki. Rose1980:- anapenda sana mambo ya pwani,ni mcheshi na mkarimu sana. Pearl:- ni mtu wa watu,asiependa makuu na mwenye tabasamu yakinifu. Daughter:- ni mpole,asiyependa majibizano na asiyependa vijiwe vya kusutana. Chetuntu:- anapenda sana story,ni mwongeaji sana na ni mtu wa kujichanganya. Husninyo:- ni mwenye busara na mpenda watu sana. Miss Judith ni mtoa ushauri mzuri sana. Shosti:- ni mnoko sana,ukimpa ujumbe hafikish kw mlengwa
PakaJimmy ana roho mbaya,mnoko,mshari,mchonganishi,mgomvi, hapendi maendeleo ya watu
 
Back
Top Bottom