Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,604
- Thread starter
- #41
Hahaha mapepo pia hayataki kelele, ukiombewa yanatoka kwa muda, ukimaliza maombi yanarudi nyumbani.mbona huwa yanarudi?
Hahaha mapepo pia hayataki kelele, ukiombewa yanatoka kwa muda, ukimaliza maombi yanarudi nyumbani.mbona huwa yanarudi?
Sawa Mchungaji,Hakuna mtu aliwahi kuona pepo!hizo ni mbinu za kupigwa ela tu.wanawake wakishakuwa hawarizishwi ndo wanakuwa na mapepo!embu wapeni wake zenu dozi vizuri usiku na mchana uone kama ataenda kutolewa mapepo
Kuzilinganisha dhana hizo Mbili ki hivyo ni dalili ya kufilisika hoja.Inabaki kwenye server, cloud store yako. Ukihitaji una i download tena
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀yanabaki huko huko kanisani kwa mwenye nayo,Mfano Gwajima aliamuru pepo aende kwa bashite ,pepo akakata akasema aingiliki yule nabakia hapa hapa.....