Wachungaji wanapotutoa mapepo yanaenda wapi?

Makanisa ya watoa mapepo hakuna siku yatakayo maliza mapepo maana yanazunguka humohumo kanisani, likitoka kwa huyu litaingia kwingine, cycle kama ya mvua.

Tena ukijipeleka maskini ya Mungu unaweza kulivaa lipepo, mifano nimeiona sana huku mitaani.
 
Haya makanisa hayana waumini wa kudumu kila siku kuna watu wapya sehemu zingine hata nusu ya kanisa kila Siku ni wageni..hao ndio wengi wanakwenda na mashida mengi
 
Wageni hawawezi kuwapiku wenyeji kwa idadi mkuu.
 
Yanaenda kwa watu wengine. Ni sawa na kutuma oesa kwa mpesa. Ikitoka kwenye simu yako c inaingia kwenye simu ya mwingine?
 
Mkuu, kwani wew ukidelete picha kwenye simu yako inaenda wapi?
ku delete ni "kuua".kuamuru pepo kutoka ni kama ku move file,say kutoka kwenye sd kwenda kwenye phonememory,sasa haya yanakuwa moved tu je yanaenda wapi?Waombaji mahiri na wenye weledi wanapoamuru mapepo kutoka huwaamrisha kwenda kuzimu maana huko ndio makao yao,lakini hawa waombaji wepesiwepesi huishia kusema tokaaaaaaaa na wakitoka hakika kwa akili ya kawaida watakuwa wanazagaazagaa tu na wakikuta mtu upo dhaifu kiroho hukuingia na kufanya makao yao ndani ya mwili wako.
 
Hahaha kuna jamaa anasema eti yakitoka yanaa break tu lakini yanakusubiri kwenye mlango wa kanisa, ukimaliza inabada/sala yanakurudia.
Anasema yeye huwa anatubu aache pombe lakini akitoka kanisani kitoa cha kwanza bar anakunywa mpaka jioni.
Anasema mapepo mlango wa kanisa mengi yanawasubiri wenye nayo kama magari.
 
nadhani ni sawa tu usemavyo,maana hayo hayakuamrishwa kwenda kuzimu,so yametoka yameamua kutega mahali na yanaweza kukuingia tena wewe mwenyewe au mwingine yoyote yule,ingawaje kiimani tunaamini hayatoenda kutega mlangoni kwa kanisa maana eneo lote lile ni moto tupu kwa mapepo,haiyumkini ni nje getini kule barabarani yanakusubiri
 
Jamaa anasema yeye pepo lake halitaki kukemewa, akiingia kanisani linamsubiri mlangoni. Akitoka tu analo, anaanza kutongoza wana kondoo anaenda nao bar, na kwingine. Anahisi lina muhimiza kwenda kanisani.
 
Back
Top Bottom