Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,604
Kuna hadithi kwenye Biblia huwa inasema, Yesu aliwahi kutoa mapepo na ajayaamuru yaingie kwa Nguruwe(kitimoto). Sasa hawa wachungaji wa zama hizi wanapotoa mapepo, huyaamuru yaende wapi?
Enzi hizo pale viwanja vya Jangwani mapepo yalikuwa yakitoka sana.
Hata Gwajima pale viwanja vya Tanganyika packers alitoa sana mapepo, lakini huwa hawayaamuru kwenda popote, je ndio kusema hayana pa kwenda au yanaishi wapi?
Hivi hawa nguruwe wa zama hizi bado wanayo yale mapepo yaliyoelekezwa kwao au wale ni specie ya kule Middle East tu?