Wachungaji wa kilokole na visa vya kufurahisha...

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,430
3,531
habarini,
kama umewahi sikiliza mahubiri ya wachungaji wa kilokole utagundua yamejaa visa lujuki vya kufurahisha muda mwingine vinakuwa na mafunzo muda mwingine kutisha tu watu mbaya zaidi hivyo vida huea vinasimuliwa na wao wakiwa wahusika wakuu, sasa swali lanfu ni jee visa vyao ni vya kweli au fiksi tu kwa waumini.
 
Iman yao inawatuma hivyo kila mtu na iman yake mimi kama mini nitaona ni uongo na wewe utaona ni vya kutisha lakin kwa wao wanaona ndo maarisho ya dini yao
 
Back
Top Bottom