Wachungaji baadhi yenu mnakera

Yaani umekwenda kusali, ila wanang'ang'ania uwe mshirika wa kudumu, sio kama RC ambao unasali kanisa lolote na unakuwa huru, hakuna wa kukuuliza.

Ila kwa makanisa haya mengi ya pentecoste hii ni changamoto, mbaya zaidi ukienda kusali na kujulikana ni mgeni utaulizwa kama umeokoka au la! Kama bado wengi huwa wanakulazimisha uokoke.

Yaani hawaelewi ukiwaambia mimi bado bado, wanakera mno! Watu wengine hawajazoea kusali kanisa moja, sasa mnawakatisha tamaa watu wa aina hii, mnakuwa ga na vimaswali vya kipuuzi mno sometimes.
Utakee usitakee tutakulazimishaa uokoke maana hakuna namna
 
Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Sikia hii mbwa..!! Usijione kuwa upo sehem salama wakati huo unaouita uislam umeletewa na waarabu... Mpuuzi kabisa yan usidhihaki dini ya mwenzako ilihal ww hujui kama upo sehem salama au laah..!!
 
Sikia hii mbwa..!! Usijione kuwa upo sehem salama wakati huo unaouita uislam umeletewa na waarabu... Mpuuzi kabisa yan usidhihaki dini ya mwenzako ilihal ww hujui kama upo sehem salama au laah..!!

Dhihaka iko wap hapo? Ama umeamua kutukana tu? Ndio unafundishwa na dini yako kumuita binadamu mbwa? Kisa mnatofautia imani? Mimi nipo sehemu salama, na uislam ni dini, kama ukristo ni dini nipe andika kutoka katika biblia inayosema " dini mbele ya mwenyezi Mungu ni ukristo"
 
Baadhi yenu man mawazo hasi sana, wengi mmekimbilia Kwenye kuliwa Kwa wake zenu mkibanwa Kwenye engo mnawakimbilia hao hao wachungaji kutaka maombi, ungeenda kanisani Kila Mtu akawa bize na mambo yake Bado ungesema sio wakarimu, kukuuliza na kutaka ubadili maisha Yako, Ili uwe mwanafunzi kamili wa Yesu umeona ni KERO??? Mbona ukienda bar ukipokelewa hivyo na hao barmaids unafurahi na yamkini ukawa mteja wao na tena ukasifia huduma zao??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom