Wachumba watatu.

haaahaaaa nimekubali... oa wote si imani yetu mwisho ni wanne? au umeshamsahau babu DANGER wa Kenya? alikua nao 80 na kidogo




Sawasawa Mpwa naona after ten years nitakuwa mdogo wake Akuku Danger....
 
Sawasawa Mpwa naona after ten years nitakuwa mdogo wake Akuku Danger....

Hapo sawa ila ushauri wangu ni kua uweke na kachumbari kidogo.. yaani mwarabu, mhindi, mweusi, mzungu, mrusi, yessssss hapo utakua umemzidi babu Danger
 
Hapo sawa ila ushauri wangu ni kua uweke na kachumbari kidogo.. yaani mwarabu, mhindi, mweusi, mzungu, mrusi, yessssss hapo utakua umemzidi babu Danger




Hao watu nina aleji nao kiasi kwamba hata siku nikiwaona wanapigana na nyoka basi mimi nitamsaidia nyoka awaume vizuri.
 
Tuko pamoja hapo mama huyu ameniandikia kiutani na mimi nimemjibu kiutani vilevile,ngoma droo.

Ahaaaa ok, gud, angalia usije ukaingia mkenge bwana.
Bora kukaa peke ako kuliko kuvumilia mwiba unaokuchoma 24/7.
 
Msaada tutani wakuu,wakati kiwinta kimekolea huko nje na hata kutoka siwezi nimekaa hapa sitting room kwangu nafikiria kisa kilichonikumba.Kisa hicho hakina tofauti na kile kilichoimbwa na marehemu Mbaraka Mwishehe.
Nimepata wachumba watatu,nataka kuoa mmojawapo,na wote ni wazungu.Kila mmoja ni mzuri sana ila tabia zao ndio shida,wa kwanza ni mvivu hata kutoa sahani yake aliyolia chakula kupeleka jikoni inamshinda,wa pili ni mbea kila siku kuzusha maneno,na wa tatu ni mlupo wa ajabu kiasi kwamba kaniambia yeye ni sex addict na akikosa hata siku moja tu anaweza kupata hysteria.Sasa jamani nisaidieni mimi,nimuoe yupi?



Oa mmbea baba,mwanamke umbea kusutwa sunna ati.
 
Kamata wote weka ndani na utakuwa na variety. Watakusaidia sana siku unaumwa na uko kitandani maana kila ukiguka unamuona mvivu, upande mwingine unamuona mbea kama vile katoka kusutwa na unamalizia kwa anayeendekeza amri ya sita
 
Back
Top Bottom