Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
Ni ujana tu jamani. Ninao wachumba 3.
1. Anafanya kazi bank. Si mrembo sana ila ni wife material. Ana muda mfupi kaanza kazi. Tatizo ni kuwa anaondoka asubuhi sana, na kurudi usiku. Wakati mwingine akiwa zamu hata Jumapili anaenda kazini. Je,atafaa kulea watoto wetu?
2. Huyu ni mwanajeshi. Amemaliza JKT ila ameenda kozi ya JWTZ hivyo atakuwa mjeda kamili. Ni wife material na ndie hasa moyo unampenda. Ila kutokana na mafunzo yao sasa hivi hata ongea yake imebadilika. Sometimes anatumia commands na hutishia hata kunipiga. Siko tayari kupigwa na mke,ila nampenda. Je,atafaa kulea watoto?
3. Huyu ni mwalimu wa shule ya msingi na kaajiriwa mwaka huu. Ni mpole,mcheshi na wife material. Najiskia kumpenda penda japo yuko rank ya 3. Hana umbo zuri la kuvutia ila anampenda Mungu.
Mwana JF, we ungeshauri aolewe yupi na kwa nini? Hasa wale wenye ka utaalamu msaada jamani.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums