Kuna sehemu nyingi za kupata wachumba - vyuoni, harusini, maofisini, kwenye party, daladala. n.k. Kwa maana nyingine ni swala la kuwa na uthubutu. Kama umependa thubutu ku-approach na kujieleza. Halafu komaa hata kama utakataliwa mara ya kwanza. Persistence pays. Kwa akina dada najua mna namna zenu za kuwafanya wanaume wafikiri wao ndiyo wameanza kumbe wao ndiyo walianzwa. Zitumie. Vinginevyo mtapoteza misamihati ya kutongozana. Kila kitu mpaka utumie mtandao?
mimi nilimpata hapa hapa, na meeting place yetu ilikuwa calabash, 2na miezi mitatu na sisikii wala sioni mwingine zaidi yake na kama unataka nikutajie ni nani nitakutajia ili uamini
mimi nilimpata hapa hapa, na meeting place yetu ilikuwa calabash, 2na miezi mitatu na sisikii wala sioni mwingine zaidi yake na kama unataka nikutajie ni nani nitakutajia ili uamini
Hmm. Tungependa kujua mlipataje wenzetu kuliko kusema tu mlipata wachumba. Yani mlianzisha thread au baada ya thread kuanzishwa nyie ndio mkamPM au ilikuaje mpaka mkapata? Tungefurahi kufahamu na hayo wakuu
heee, kumbe ndo hivyo..basi na mm natafta mchumba jamani..kwa mdada yoyote aliye tayari kwa serious and productive rfelationship ani PM. sifa ni moja tu, awe na heshima.
ushawahi kuona mwanaume anaolewa kwenye internet
Karibu..tena usithubutu kimbilia tu afriksana kuliko kuja huku
yatakukuta usiyofikiria kukutwa kwa umri wako