Wachumba (ke) wana tabia ya kulazimisha ndoa

Wachumba (ke) wana tabia ya kulazimisha ndoa

nashundwa kutuma screen shoot hapa Jana tu imenitokea nalazimishwa hapa kuoa na harusi iwe mwezi wa 12
 
Ukisikia Yalaaaah yamemkuta.. Pole sana Mkuu.

Nyie ni kama Punda bila mjeredi haendi.
 
Mimi nimelisema hili suala juzi humu nikatukanwa kila aina ya matusi.
 
kumbe wanaforce kuolewa basi ngoja nifanye ishu zangu nisubiri ataponiforce ndo nimuoe
 
Utasikia npo tayar hata kulala chini ili mradi tuoane. Baada ya hapo sasa mwanaume utaujua mji vizur, tuoe jamani kujipanga sio lazima ila uwezo wa kulala mahali pazuri, kula vizur, na pesa ya matibabu uwe na uhakika wa mahali pa kupatia vijipesa. Mwenzio atakuambia hata kula mara moja kwa siku yupo tayari, lakini baadae atakuambia nmechoka maisha haya bila kujali km hali ya maisha bado haijawa nzur kwenu!. Ni hayo tu kwa mm.

Umesema kweli. Huwa wanasema wako tayari kwa lolote lakini hiyo.haitoki moyoni. Wanataka kuolewa na kisha hulianzisha maisha yasipokwenda isivyo.
 
Mimi nimelisema hili suala juzi humu nikatukanwa kila aina ya matusi.

Ni kweli wasichana wengi wakiona rafiki zao wameolewa huwa na tabia ya ku fast track ndoa. Huwa sijui kwanini wengi wankumbwa na huu upepo wa ndoa za watu wengine.
 
Mimi mzawa wa kenya na naishi Nairobi lakini sijamwona wa kulazimishana. Wanawake wasiotaka kufunga ndoa ni wengi tuu haja yao ni kuwa huru na kujivinjari. Wapo wengi watakaokuacha kama huonyeshi ishara ya kuwaoa. Wengine wao watakuacha wakaolewe na vijibaba vyenye mahela ambavyo hawavipendi ili waishi raha mstarehe.
 
Waacheni waendelee kulazimisha HIYO ndoa ...Mimi ni mwanamume but I know how ladies get pain.....NA mkumbuke kuwa wanawake wanachukua muda mrefu sana kusahau....wengine walikuwa malaika lakini wakishaumizwa wanajiachia NA kuwa holes ...n kujiapiza kuwa wakipata mwanamume lazima Walazimishe maana unakuta waliumia baada ya wapenzi wao kuangukia kwenye penzi la mapapa wa MJINI waliojerehiwa ............NA yeye anaamua bora awe papa.
 
Achilia mbali kulazimishwa kuoa. Kuna wanawake wanakuganda balaa, mtu yan in such unajuta na kum date. Yaan ukilegeza na hapo anaku pressurize hata kama una mtu muachane. Kama ni mrembo akikulegeza na care, umekwisha ndugu. Lol

Mwingine ukijenga nae urafiki mkazoeana kidogo taabu kweli yan (ana catch feelings), uki pull out ukawa busy na yako atatokea kukuchukia balaa. It keeps me wondering. Sijui kwa wengine but i've experienced that before.
 
Vijana wengine wanashikiwa akili. Utalazimishwaje kuoa?
 
Back
Top Bottom