‘Wachokonozi’ wapandishwa kizimbani Arusha kwa ‘Makosa ya Kimtandao’

‘Wachokonozi’ wapandishwa kizimbani Arusha kwa ‘Makosa ya Kimtandao’

Ingekuwa maudhui yao ni ya kumsifia Mama Samia wala wasingeguswa.

Hawa kina Mwijaku na Masanja wana leseni ipi?

Double standard, Ccm ni laana kwa Watanzania.
Wanaokula maudhui ya kumponda dk Samia ndio hao hao wanaokula maudhui ya kumpamba Dk samia.
 
Hao wachokonozi huwa ni wajinga mno. Kuna post yao wanaunga mkono ukeketaji kwa wanawake. Watu kama hawa wasipodhibitiwa watapotosha umma
Nyinyi mnataka kuona kila mtu anageuka chawa hilo haliwezekani.

Mwijaku, Baba Levo, Masanja na wajinga wengine wanawatosha.
 
WANGEKUWA WANASIFIA HATA WASINGEULIZWA LESENI
Refer to Mrisho Mpoto, ile nyimbo yake ya mjomba wakati wa JK ilimuweka kando na watawala, sasa hivi baada ya kuusoma mchezo kageuka vuvuzela na mwendo wa ngiri kila anapofanya ziara za ndani nchi Mama basi Mrisho Mpoto ni kama mkia humkosi anavuta per diem zake na bahasha daily.

Na vile amejuwa kukaririshwa miradi na figure basi Mama humwambii kitu kwa Mpoto.

Hiyo ndio Tanzania yetu ilipofikia.
 
Kama timbulo na magufuli
 
Sifia CCM ubaki salama...
Kuna dada mmoja wa No reform leo nimeona clip yake anahamasisha october tunatiki.

Yani nchi ya ajabu sana hii, leo nimeona picha ya Maulid Kitenge na Mzee Kataraiya ex Mp wa Bukoba anaishi Marekani amefanya maamuzi ya busara.

Kuishi Tanzania kunahitaji moyo na uvumilivu na haitaki uwe na hasira.
 
Mgawanyo upo hivi

1% WATAWALA WENYE MAMLAKA WANATAWALA WOTE 99%

90% WAMELALA HAWAJITAMBUI

5% WANAJITAMBUA WANAJITAHIDI KUWAELIMISHA NA KUWAAMSHA 90% WALIOLALA.

4% WANALIPWA NA 1% KUWASHUGHULIKIA 5% IKIWEZEKANA KUWADHIBITI AU KUWAUA WANAOJARIBU KUWAAMSHA 90% WALIOLALA.
 
Ingekuwa maudhui yao ni ya kumsifia Mama Samia wala wasingeguswa.

Hawa kina Mwijaku na Masanja wana leseni ipi?

Double standard, Ccm ni laana kwa Watanzania.
Wewe unajuaje kama hawana?.Na je maudhui waliyoshtakiwa nayo hao jamaa yakoje?.Unapokuja na hoja yakupingana na jambo leta kitu sahihi kinachoeleweka ili tuone ukweli wa unachokizungumza ukoje.Kusema tu juu juu na jumla jumla haiwezi kua ufumbuzi wa jambo lolote sana sana utaoneka unaongea kwasababu yatotauti yakisiasa.
 
Adhabu: Mtuhumiwa, akishatikiswa na kuhukumiwa, atapewa faini ya Sh300,000 au adhabu nyingine kama Sheria inavyoeleza
Wapigwe faini tuwalipie tu na tuwachangie kukata kibali tuendelee kupata hayo maudhui
 
Bongo bwana Ulofa kila kona....
Muda utaongea kikubwa pumzi...
 
na kosa la pili ni kutoa maudhui mtandaoni bila ya kuwa na leseni kinyume na kifungu namba 116(3)(b) cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Kanuni za Maudhui Mtandaoni).
Na sisi tunaochangia humu mbona hatuna leseni na hawatukamati?
 
Kupandishwa mahakani si hukumu, wangapi wanapandishwa na kutoka?
Usitoshie watu hapa
Kuna tofauti kati ya kupandishwa na kushtakiwa mahakamani, hata mafundi ujenzi wanapanda kwenye paa za majengo ya Mahakama
 
Back
Top Bottom