Wachina watoa kichapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachina watoa kichapo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiluvya2011, Jun 20, 2011.

 1. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na basi na kukata site mirror...source radio one breaking news

  Mwenye habari zaidi atujuzi.
   
 2. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,260
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Hii inaonekana jinsi jeshi/jesi letu la porisi lilivyo feki mpaka wageni wanaamua kuwavamia na kutoa mkong'oto. Bubu akizidiwa hutaka kusema. Nadhani imefika mahali wachina wakashindwa kuvumilia!
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Hawakuwa na taarifa za KI-INTELEJENSIA???
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,347
  Trophy Points: 280
  Hawa Wachina ni wazwekezaji au makarateka?
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wachina wawekezaji ninaowajua mimi ni wale kina dada pale Jolly Club waliowekeza Mbunye!
   
 6. womanizer

  womanizer Senior Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si sawaaaa
   
 7. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wangenikuta mimi wangekoma kuzaliwa.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  ina maana wamevamia kituo na kutoa kichapo kwa polisi na polisi wameshindwa kutumia silaha kujilinda? maana najua kwa vitambi vya polisi wetu na karate za wachina lazima ngumi polisi wapigwe.
   
 10. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usiwe na majotro mkuu
  Hapo sijafikiria kitu cha kuwafanya, gadem hawa wachina!!!!
   
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hawa wafanyakazi imekuwaje wakawa hoi ilhali kichapo kilitolewa kwa Askari Polisi?
  Naomba ufafanuzi hapo..
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wachina nadhani walidaiwa rushwa na polisi ndipo walipoona ujinga huu ngoja tuwafundishe adabu nyama hawa corrupt njaguzzzzz
   
 13. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hawa ni wakandarasi wa ujenzi wa barabara na hawana makuu wanabeba tofali.zege na sementi kwa hiyo ni watu wa kazi polisi watakuwa wameipata fresh.
   
 14. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  ila hawa wachina wanaojenga barabara ya babati - singida wamezidi ubabe na kujichikulia sheria mkononi wanapiga wananchi, wafanyakazi wao, yaani ni wanyanyasaji na wazarilishaji ili polisi nao inawagwaya wana kesi kibao za kupiga watu ila wanapeta tu sijui nani yuko behind them. No wonder dereva mmoja wa katapila alimshushia kijiko mchina na kumuua hapo hapo afu yeye akasepa bila kubughudhiwa na wafanyikazi wenzake
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Popote alipo nampa thanx mzalendo huyoooo......
   
 16. m

  mareche JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  safi sana wachina kwa kuwafundisha adabu vijana wa kova wanauwaraiya psipo sababu mtu ukidai haki yako unapigwa
   
Loading...