Wachina watengeneza coins za 200: Mkulo, TRA & TBS mpo?

Nimekuja gundua kwa nini watanzania wengi huwa tunafeli kizembe zembe we hufuati mada inayojadiliwa unaleta ujinga mwingine please follow instructions
 
E bana ee hii inatisha! Ila kama una uhakika na taarifa zako mtu wangu katoe taarifa ili mafisadi hao wabananishwe!
 
taarifa ameshatupa so mwenye la kufanya kuchukua hatua haya!!
nyie mnacheza na MAFIA wa nchi hii?jamaa huyu eshamaliza sasa mlitaka atafune weeee
taarifa ngapi zinakuja kiivi na ni za UKWELI 1000%

khaaaa
 
acheni ubishi wabongo,what's impossiable?

wanabisha na kuhitaji source as if there something which is imposible in this country. Halafu source mkizipata mnazifanyia nini? au mnapenda tu kuuliza source? Mi hata sishangai kwani nchi hii kinaingia kila kitu, yani taka zote. kama bidhaa fake zoote zinaingia bongo kuanzia maziwa ya watoto hadi sanitary pads hadi tv hadi dawa za maralia, mnashangaa nini sarafu za 200 kuingia?
 
Hivi kwanini kila uchaguzi unapokaribia bei ya mafuta na dola vinapanda kwa kiwango cha kustaajabisha?
Leo lita moja ya petroli nimenunua sh. 1700/=.
this is very sensitive. Huyu jamaa kama jerry murro.

Kama hizi habari ni za kweli then we are done.

Leo nimeingia benki only to be told i can buy a doller @ 1,405. I really wonder where

this will reach in the next 4 months
?
 
mhuu
Mi nahisi Gharama za kusafirisha container la coins,ni sawa na thamani ya coins zilizobewa...hapa mtu si unatoka na sifuri,hasa ukijumulisha na gharama za kutengeneza coins zenyewe...hiki ni kiini macho sio skendo hiyo...
 
Eehh bwana king of king ayo maneno ni ya ukweli
na zinafananaje izo coin ili tukikutana nazo tuzijue:painkiller:
 
Wakuu whilst source ni muhimu kuthibitisha ukweli wa habari, lakini sometimes kwa Tanzania kila kitu ni possible. Nakumbuka ilikuwa 2006, pale bandarini nilishuhudia kontena limekamatwa likiwa limejaa sigara embassy zikiingia nchini kutoka China. Well sikujua kilichoendelea na hiyo habari na todate sijawahi kuiona gazetini, Luningani, au kuisikia redioni. I saw the container and the items with my own eyes. Sasa mkuu kings of kings asibishiwe sana pamoja na kwamba ni muhimu kuweka benefit of doubt!
 
wabongo bwana, mtu katoa taarifa wao ndo kwanza wanaanza blame na kuhitaji source. sasa ukipata source itakusaidia nini?
kwani hivi alivyofanya si ametoa taarifa ndo maana mimi na wewe tumeipata khabari hii. so hata wewe baada ya kuipata ni jukumu lako kisambaza na if possible uipeleke sehemu husika.

Kila mtu anaweza kusema anachoweza kusema, but as educated people we need reliable news. Hapa JF wengi tunajuana kwa ID's tu, that is not enough to trust what someone says, especially when it touches sensitive aspects like economy.

And I don't think that is even close to reality. Hii issue ni kubwa sana. Sijui huyu jamaa ni mtu wa namna gani, au anafanya kazi wapi .. but hii sio issue ambayo mtu wa kawaida unaweza kuifahamu kabla ya vyombo vya usalama kujua .. otherwise huyu jamaa anafanya kazi eneo nyeti sana!
 
we all know bongo is corrupt,kilichoweza kutokea pesa imeharibiwa baada ya kukamatwa,then jamaa wanatoa kitu kikubwa ili isijulikane na kufikishwa mahakamani.
 
hii kitu inatisha ....lkn pengine ni kweli. ikiwa mtu kaja na ushahidi wa kuona contena la sigara embassy kwanini iwe ajabu kwa coins? yawezekana baada ya mda wakaingia na elfu kumi kumi feki. lazima dola ifike 2000 mwaka huu
 
hii kitu inatisha ....lkn pengine ni kweli. ikiwa mtu kaja na ushahidi wa kuona contena la sigara embassy kwanini iwe ajabu kwa coins? yawezekana baada ya mda wakaingia na elfu kumi kumi feki. lazima dola ifike 2000 mwaka huu


Ufisadi kama huu kamwe hutauona kwenye magazeti wala vyombo vya habari, Nchi hiiiiii we acha tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom