Villanova tito
Senior Member
- Dec 20, 2016
- 148
- 154
Acha ujinga hapo wanazungumzia watanzania wenzako.. Siasa zimekuchanganya.. Kwa hiyo wewe unakubalia unyanyaswe na mtu ambaye sio mtanzaniaNendeni USA hamtanyanyaswa
Huyu jamaa akili zipo matakoniNendeni USA hamtanyanyaswa
Yani sanaaKuna siku moja nilikuwa kariakoo.. kwenye duka nililokuwepo pembeni kulikuwa na duka la wachina lenye wafanyakazi waswahili...nakumbuka yule kaka mswahili aliomba ruhusa kwa mchina anajisikia vibaya arudi nyumbani..jibu la mchina alimwambia akitoka pale na kazi Hana..dah!!..yule kaka alitia huruma akataka na kumpigia mchina magoti..bahati nzuri duka la pembeni nilipokuwa Mimi wenye duka waswahili wakorofi wakamwambia mchina ..huyu jamaa anaenda home kupumzika Sasa ole wako kesho umfukuze kazi..mchina alinywea kwa ule mkwara..vijana wafanyao kazi kwa wachina wanatiaga huruma Aisee.
niunganishe na hao wafanyakazi niwape msahada wa kisheria waweze kukomboa haki zao zilizo minywaKwema wana jukwaa leo nimekuja na hoja jinsi wajina wanavyowanyanyasa wazawa ambao wamewaajiri katika kampuni za ujenzi
Kuna kampuni moja inaitwa Chicco inajenga mto ng'ombe unaopita mitaa ya Sinza, Mtogole mpaka Mkwajuni. Mradi ambao uko chini ya Manispaa ya Kinondoni.
Lakini mwanzoni mwa wiki hii J.tatu waliwasimamisha wafanyakazi wao ambao no mafundi ujenzi kwa miez miwili wakidai wamewapa lay-off bila kuwapa stahiki zao kama pesa ya likizo.
Mbali ya hayo wachina hawahawa wanajeuri ya kuwaambia nendeni kokote mkashtaki. Yaan watu wakihoji kukatwa overtime unafukuzwa.
Sasa wako wapi viongozi wa wawanyonge
Nicheck 0694052222niunganishe na hao wafanyakazi niwape msahada wa kisheria waweze kukomboa haki zao zilizo minywa
Kosa kubwa sana umefanya.Nicheck 0694052222
Jamaa kaingia kingi mwenyewe bila kujua [emoji2][emoji1][emoji16]Kosa kubwa sana umefanya.
Marabora umeingia kingi bila kujua hapa [emoji38]Nicheck 0694052222
Kwa hiyo atatekwa kwa kusema ukweli? Tanzania imeoza basi kama ni hivyo.Kosa kubwa sana umefanya.
Sijaona baya aliloandika kumfanya awe na wasiwasiKwa hiyo atatekwa kwa kusema ukweli? Tanzania imeoza basi kama ni hivyo.