Kwa kweli tangu pikipiki za kichina ziingie nchini watu wengi aidha wamepoteza maisha au wamepata vilema vya maisha. inawezekana ni madereva wetu wazembe, miundo mbinu, lakini pia nyingi si imara. Soma jina la hiyo wamekupa ilani kabisa ukiipanda hakuna kesi hapo.........
kwa wanaojua marketing sidhani pikipiki kama hizo zenye jina kama hilo wanauza bongo, kama zipo basi wamezidi, duh, yaani unapeleka tuu bidhaa nchi ya watu hujui jina la bidhaa yako lina maana gani katika soko unaloenda kuuza, itakua kazi
Wasanii wenzake na Bambo wakiwa na sura za majonzi mara walipofika hospitalini kumwona mwenzao Dickson Samson Makwaya a.k.a Bambo aliyelazwa kitandani.
Picha ya dereva wa pikipiki waliyopata nayo ajali alfajiri ya leo.
ajali ni ajali, zingine ni natural na nyingine ni uzembe au ubovu wa kifaa unachosafiria, watu wanaokufa na pikipiki ambazo siku hizi kila pikipiki ni ya kichina na wanaokufa na magari ambayo sidhani ni ya kichina uwiano vipi? je kwa mwezi wanakufa au kuumia wangapi kwa pikipiki za kichina na wangapi wanakufa na kuumia kwa vyombo vya usafiri visivyo vya kichina? nini uhakika wachina washaanza kuuza magari yao bongo yakiwemo jian fang ambayo mengi si ya abiria, JAC, pia la mizigo na YUTONG BUS ambayo ni la abiria, je kati ya hayo YUTONG na MARCOPOLO na mengine ya kuchonga kwa kubadilisha FUSSO kuwa BUS la abiria mna data? hata hivyo tusisema hawa waliop[ata ajali wamejinyea, haisound fresh.
Sasa mnashangaa nini kwa wachina,mbona hamshangai ndugu zenu wazanzibari ambao wanaongea kiswahili kizuri lakini bado wana maeneo kama mchamba wima,Pumbuji,Jambeni n.k.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.