Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,305
- 3,218
Habari za asubuhi Wana jf
leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina.
Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na Ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miez mitano.kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.
Shida ni wachafu nyumba haitamanika Ina nyasi kubwa nje na ndani.sio watuzaji wazuri wa nyumba Hadi dirisha la aluminum washavunja kioo wakati wanaishi bila mtoto Wala mke.
Vhakula vyao wanamwaga tu ovyo nyumba miez mitano tu ishachakaa.ndani kunatoa harufu Kali.
Imebidi tumuajiri mtu kwa ajili ya usafi.
Naomba kuwasilishaa....
Nyumba ya Mzee amepangisha sio 'tuliwapangisha wachina' mbona unajimilikisha wakati Mzee yupo.Habari za asubuhi Wana jf
leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina.
Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na Ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miez mitano.kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.
Shida ni wachafu nyumba haitamanika Ina nyasi kubwa nje na ndani.sio watuzaji wazuri wa nyumba Hadi dirisha la aluminum washavunja kioo wakati wanaishi bila mtoto Wala mke.
Vhakula vyao wanamwaga tu ovyo nyumba miez mitano tu ishachakaa.ndani kunatoa harufu Kali.
Imebidi tumuajiri mtu kwa ajili ya usafi.
Naomba kuwasilishaa....
nasikia huko kwao makimba wanayakusanya kuyafanya mboleaHabari za asubuhi Wana jf
leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina.
Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na Ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miez mitano.kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.
Shida ni wachafu nyumba haitamanika Ina nyasi kubwa nje na ndani.sio watuzaji wazuri wa nyumba Hadi dirisha la aluminum washavunja kioo wakati wanaishi bila mtoto Wala mke.
Vhakula vyao wanamwaga tu ovyo nyumba miez mitano tu ishachakaa.ndani kunatoa harufu Kali.
Imebidi tumuajiri mtu kwa ajili ya usafi.
Naomba kuwasilishaa....
Bora hao, wahindi je? Wanatema tambuu kwenye bedroom na kunya humo.Habari za asubuhi Wana jf
leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina.
Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na Ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miez mitano.kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.
Shida ni wachafu nyumba haitamanika Ina nyasi kubwa nje na ndani.sio watuzaji wazuri wa nyumba Hadi dirisha la aluminum washavunja kioo wakati wanaishi bila mtoto Wala mke.
Vhakula vyao wanamwaga tu ovyo nyumba miez mitano tu ishachakaa.ndani kunatoa harufu Kali.
Imebidi tumuajiri mtu kwa ajili ya usafi.
Naomba kuwasilishaa....
Nyie hamkai hapo majani yanawahusu Nini tafuta kazi za kufanya binti,Habari za asubuhi Wana jf
leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina.
Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na Ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miez mitano.kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.
Shida ni wachafu nyumba haitamanika Ina nyasi kubwa nje na ndani.sio watuzaji wazuri wa nyumba Hadi dirisha la aluminum washavunja kioo wakati wanaishi bila mtoto Wala mke.
Vhakula vyao wanamwaga tu ovyo nyumba miez mitano tu ishachakaa.ndani kunatoa harufu Kali.
Imebidi tumuajiri mtu kwa ajili ya usafi.
Naomba kuwasilishaa....
Ndio maaana mm nasema biashara ya kupangisha iwe ya mwisho maana haiwezi kukutoa wanalipa milioni 9 kwa mwezi, je nyumba imejengwa kwa thamani ya sh ngapi ? Na hiyo milion 9 wanayolipa itachukua miaka mingapi pesa kurudi??mHabari za asubuhi Wana jf
leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina.
Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na Ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miez mitano.kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.
Shida ni wachafu nyumba haitamanika Ina nyasi kubwa nje na ndani.sio watuzaji wazuri wa nyumba Hadi dirisha la aluminum washavunja kioo wakati wanaishi bila mtoto Wala mke.
Vhakula vyao wanamwaga tu ovyo nyumba miez mitano tu ishachakaa.ndani kunatoa harufu Kali.
Imebidi tumuajiri mtu kwa ajili ya usafi.
Naomba kuwasilishaa....
😁😁😁😁 Kung Fu kwenye nyumba za watuSi lazima kuwepo na watoto ndo uharibifu utokee, hilo dirisha la Aluminum ambalo wamevunja kioo, walikuwa wafanya mazoezi ya 這個 劉基宏中國
Sijajipa umiliki Ila hii nyumba msimamizi ni Mimi.Nyumba ya Mzee amepangisha sio 'tuliwapangisha wachina' mbona unajimilikisha wakati Mzee yupo.
Mada nzuri ila tatizo umewasilisha mada huku ukijipa umiliki wa hiyo nyumba.
Mkuu nyumba Ina uchafu kila Aina Yani nyumba inatoa harufu kisheziWachina ni wachafu sana, kwanza ni watu wa kutema tema mate hovyo, kufuta makohozi na kuyatema kwa kuyarusha, kujamba hovyo...
Hao washenzi wanatema mimate iwe airport, supermarket, restaurant n.k...
Wananuka miili, midomo ndio usiseme kama vile harufu ya vitunguu swaumu vilivyoanza kuchacha...
Jiandaeni tu kuja kukarabati nyumba kwa upya watapoondoka hapo...
Mkuu heshima muhimuNyie hamkai hapo majani yanawahusu Nini tafuta kazi za kufanya binti,
Kweri mkuu Ila was wangetafuta ata mfanyakazi wa kuweka mazingira sawaHiyo ni kawaida mbona mkuu hata kwetu wabongo.
umesema hawana mtoto wala mke, maana ni mabachela.
Na kwa kawaida bachela hana muda na usafi wa anapokaa, akitoka asubuhi kurudi ni jioni, hata akishinda nyumbani kufanyia mazingira usafi ni changamoto.
Cha kufanya hapo wekeni mfanya kazi wa kuangalia mambo ya usafi.
Mimi hapa ninapokaa ni chumba kimoja lakini kuna changamoto ya kufanya usafi, sasa itakuwaje kwa mabachela wenye nyumba nzima?
Tena ndani ya fensi?
Halafu kwa kuongezea, nyumba nyingi zenye fensi, ndani mambo ya usafi ni changamoto.