Wachina Wametuchoka Waafrika

Mwanzi1

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
5,999
Reaction score
4,591
Mfanyabiashara mchina ambaye amekuwa akifanya biashara zake Afrika na Uchina, ameweka picha kwenye jumba la makumbusho huko Uchina katika jimbo la Hubei.

Kwa hivi sasa hizo picha zimeondolewa kutokana na malalamiko yaliyo letwa na wanafunzi wa kiafrika wanaosoma huko Uchina. Lakini mfanyabishara huyo bado anasisitiza kama haoni shida yoyote kutokana na wao Wachina wana abudu wanyama ndio maana miaka yao inatabuliwa kutokana na majina kumi na mbili ya wanyana ikiwemo mbwa, nyani, mbuzi, nyoka, panya, farasi ...nk.

Chanzo: kwa lugha la kingereza.

Africans in China are furious with a museum exhibit comparing Africans to animals
 
Mbona sioni kama kuna tatizo hapo... Inatengemea jinsi ulivyo tune akili yako...
Ungesoma kwenye hiyo link ungegundua mengi zaidi! Eti mtu mweusi aliingizwa kwenye mashine ya kufulia na baada ya kufuliwa akatoka akiwa mu asia(mweupe) hiyo ina maana kuwa weusi wetu ni uchafu! Na mpumbavu wa lumumba anashangilia tu!pumbavu kabisa.
 
Hiyo kitu ya kufuliwa na kutoka mweupe haikuwa na maadili mazuri. Yani ngozi yetu nyeusi waafrila tumaonwa kama takataka.

Huu ni uzalilishaji Wa rangi,maumbile,wao waje kwetu wakute bagamoyo tumeweka ngurue na sura zao au mbuzi sizani kama watafurai mwisho wanune au wakalalamike wameonew
 
Watu weupe wanatuogopa sana sisi watu weusi kwa sababu:
1. Mwafrika ni binadamu pekekee mwenye uwezo wa kuzaliza watoto ya rangi nyeusi, nyeupe, Brown nk.
We African ndio baba zao.
2. Tuna nguvu za kiasilia hakuna mfano
3. Waafrika tuNa akili, upendo. Lakini watu weupe hawana asili ya upendo kwenye roho zao.
Hitimisho wao katika dunia hii ni viumbe hafifu saana ndio maana wanapambana na sisi kila kukicha kwa kutupatia madeni.
 
Na wanajaribu kuangamiza black race na Mungu katupa uwezo wa kuzaliana hatarii
 
Ungesoma kwenye hiyo link ungegundua mengi zaidi! Eti mtu mweusi aliingizwa kwenye mashine ya kufulia na baada ya kufuliwa akatoka akiwa mu asia(mweupe) hiyo ina maana kuwa weusi wetu ni uchafu! Na mpumbavu wa lumumba anashangilia tu!pumbavu kabisa.
Hao wachina ndo wanadanganywa hivo?..hizo mashine za kufulia zipo wapi leo hii?...aliingizwa na nani huyo mtu mweusi?...nani mmiliki wa idea ya mashine hiyo?..mambo mengine hayahitaji kukasirika!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…