Wachina wakamatwa Ghana wakichimba madini

Wachina wakamatwa Ghana wakichimba madini

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
7,445
Reaction score
2,509
Habari za leo wakuu. Leo kwenye news BBC kiingereza wameonyesha Wachina walivyovamia mgodi mmoja huko Ghana wanachimba na kutafuta madini kwa nguvu zote zaidi mno wamejenga mahema pembezoni tuu mwa mgodi huo kwa ajili ya makazi yao. Wanajeshi wa Ghana ndo waliowakamata na wamewakamata pia wakiwa na bunduki na risasi kwenye hayo mahema. Wachina walikuwa wengi mno kwenye huo mgodi you can't imagine kama wale ni wageni kwenye ile nchi ya Ghana. Nilimsikia pia mGhana mmoja akisema hawa wachina wameingia Ghana ni wengi sana.

My take: Sina shaka Tanzania kwa sababu ni shamba la bibi wachina wamejaa mno mno na wako kwenye rasilimali zetu tayari. Watanzania kokote mnakoishi kama mnajua kuna rasilimali zetu karibu jaribuni kufanya uchunguzi wa kina na mkijua wajulisheni wahusika. Mali zetu zitalindwa na sisi wenyewe na sio mtu kutoka nje.

Source: BBC News - Ghana arrests Chinese suspects in illegal mining crackdown
 
41 Chinese arrested in Ghana

Share on twitter Share on facebook Share on sinaweibo Share on linkedin More Sharing Services 8
E-mail Print

[TD="class: source, width: 45%"] Global Times | 2012-8-27 1:25:03
By Ling Yuhuan[/TD]
Diplomats at the Chinese embassy in Ghana have visited a group of 41 Chinese nationals who had been detained for allegedly mining gold illegally in a series of crackdowns.

The campaign came amid escalating tensions between foreign miners and local residents in the second largest gold producer in Africa over environmental concerns and fears that an influx of foreign miners may steal local jobs.

The detained people were in good health, a consul surnamed Guo at the embassy told the Global Times. Their identities were not revealed.

Local police claimed that all of the Chinese nationals were arrested for illegal gold mining and didn't have legitimate work visas, residence permits, or mining permits, according to an online statement by the embassy.

Among the detained, 34 were arrested Monday last week within the mining concession of AngloGold Ashanti (AGA) in the Obuasi and Amansie Central areas after local police raided illegal mining sites in the Ashanti Region, the Ghana-based Daily Guide said in an earlier report.

The group was taken to the capital city Accra for processing and investigation, the report said.

Bempong Marfo, the Ashanti regional security liaison officer, told the Ghana-based Daily Guide the crackdowns follow rampant illegal mining activities and were not targeted at any particular foreign country.

Alan Fine, a public affairs manager at AGA, told the Global Times on Sunday that the company was aware of the illegal mining in that concession, and had earlier reported it to the authorities.

"In this particular case, the people had quite large machinery that they were using to carry out the mining, which obviously has a large impact."

He said there are also "a number of local people involved."

Thirty-eight Chinese workers were arrested for illegal gold mining on May 22 and were later released on bail by Ghana police, after AGA reported them, the China National Radio reported.

Ghana produced over 3 million ounces of gold in 2010, the Minerals Commission of Ghana said.

The reserve of gold has reportedly attracted more than 1 million illegal gold miners to Ghana.

"Ghana has seen an increase in illegal Chinese gold miners since 2006," Guo said.

Currently there are between 400 and 500 illegal Chinese miners in southern Ghana, news portal ghanamma.com reported.

Most of the illegal Chinese miners were not employed by any company, but were mining for their own profit and paid rent and part of their earnings to the local tribal chiefs or landlords, Guo said. "Although most of the land is owned by these chiefs, the minerals are owned by the country. The chiefs don't have the rights to mine."

However, many villagers who believe their rights are not being protected are vehemently opposed to illegal mining by foreigners.

A group of Chinese gold miners opened fire to disperse local villagers near Asante Bekwai on July 19, Guo said. There were no casualties but nine Chinese were summoned to assist police investigations, reports said.


E-mail Print
 
Baadhi yao ni watu wa hovyo tukijisahau watatuumiza kwa mambo yao ya ujanjaujanja.
 
Unakumbuka yule Mchina aliyekamatwa akichimba madini kwenye hifadhi ya wanyama na kupewa faini ya shilingi milioni moja tu? Mimi ningefikiria kuwa huyu alipaswa kufukuzwa nchini mara moja. Na shilingi milioni moja ni kiasi kidogo sana kwa kosa alilokutwa na hatia nalo.
 
Wakuu wetu wa nchi wanaamini kuwa a barking dog seldom bites.
Tutapiga makelele humu, yatabaki humu humu JF. Wakina JK wamethubutu, wameweza na wanasonga mbele. Na 2015 wapo ambao wataendelea kuipigia kura CCM kama kawaida.
 
Wachina.ndio zao nilisema nilichangia jana kwenye thread ya huo mkataba kuwa wataleta watu wao watawajengea nyumba awtz tutakosa hata hivyo vibarua kwenye huo uwekezaji. kweli tunaviongozi nchi hii jamani nawaomba tunaotaka mageuzi 2015 tufanye mabadiliko this is just too much n harmful .
 
Habari za leo wakuu. Leo kwenye news BBC kiingereza wameonyesha Wachina walivyovamia mgodi mmoja huko Ghana wanachimba na kutafuta madini kwa nguvu zote zaidi mno wamejenga mahema pembezoni tuu mwa mgodi huo kwa ajili ya makazi yao. Wanajeshi wa Ghana ndo waliowakamata na wamewakamata pia wakiwa na bunduki na risasi kwenye hayo mahema. Wachina walikuwa wengi mno kwenye huo mgodi you can't imagine kama wale ni wageni kwenye ile nchi ya Ghana. Nilimsikia pia mGhana mmoja akisema hawa wachina wameingia Ghana ni wengi sana.

My take: Sina shaka Tanzania kwa sababu ni shamba la bibi wachina wamejaa mno mno na wako kwenye rasilimali zetu tayari. Watanzania kokote mnakoishi kama mnajua kuna rasilimali zetu karibu jaribuni kufanya uchunguzi wa kina na mkijua wajulisheni wahusika. Mali zetu zitalindwa na sisi wenyewe na sio mtu kutoka nje.

Source: BBC News - Ghana arrests Chinese suspects in illegal mining crackdown

naunga mkono hoja. na hayo mapumbavu ya ccm yajue fika yanawajibika kulinda rasilimali zetu. kinyume chake hizo rushwa wanazogawana muda sio mrefu zitawatoa roho. maana ninahasira na haya majamaa. mavitambi marefu utafikiri yanafanya lamaana maofisini. kumbe majizi makubwa.
 
Msibabaike na vyombo vya habari vya wamagharibi jamani, kwani hao wachina wamekuwa supported na serikali yao kufanya hivyo au ni ujanjaujanja wao tu? Kwani mara ngapi raia wa magharibi wanakamatwa afrika wakijihusisha na biashara haramu au wakiiba rasilimali za nchi?

Hao wachina ni wahuni fulani tu kama wahuni wa nchi yeyote ile na wanakabiriwa na adhabu ya kunyongwa wakirudishwa kwao!!
 
Chunya wameacha kujenga barabara wanachimba dhahabu. Nilikuwa huko juzi
 
Back
Top Bottom