Wachina wafa maji- Dar

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
RAIA wa China, wamekufa maji baada ya kuzama wakati walipokuwa wakiogelea katika ufukwe wa Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Charles Kenyela amesema kuwa tukio hilo lilitokea jana mchana baada ya raia hao kukutwa ufukweni wakiwa wamefariki baada ya kuzidiwa na maji ya kina kirefu

Raia hao ni Wang Shi (23) na Liu Cheng ambaye umri wake haukuweza kufahamika mara moja na wenzao wengine walioweza kuokolewa walitambulika kwa majina ya.Wang Chun (37), Yan Hu (29) na Wu Ling (24).
 
hawajui kuogolea kwanini walioga baharini?
Mungu azilaze roho zao panapostahili... Amin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…