Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Wachina tumewapa tenda zote kubwa za ujenzi, sababu ndio wafadhili wakuu. wakitaka kuuleta huo mchele hapa hakuna atakaewazuia
Hiyo ndio Tanzania yako.
Wachina tumewapa tenda zote kubwa za ujenzi, sababu ndio wafadhili wakuu. wakitaka kuuleta huo mchele hapa hakuna atakaewazuia
Ndugu ni kweli mchele wa plastic upo sokoni kwa muda sasa. kama sijakosea kuna mchele wa Wu Cheng kutoka China, ambao huchanganywa na plastic maalum ama viazi ili kupunguza gharama za mchele halisi.acha umburura, usipotoshe watu usichokijua, sijui umeokota wapi video unaprezent uzezeta, Hizo ni plastic pellets zinatumika kutengenezea vitu vya plastic, ipo za size mbalimbali