kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,686
Kwa Hali Hii Tecknolojia Itatumaliza
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamepiga hatua nyingine na kiingilia hadi kwenye vyakula.Hii ni baada ya nchi ya China kugundua mchele wa plastiki.
Mchele huo umeanza kuuzwa kwenye supermarket karibu zote nchini humo na baadhi ya migahawa pia.
Watu wengi wamelalamikia kitendo hicho cha kuuza vyakula feki lakini imekuwa ni ngumu kuzuia kwani nchi hiyo ni kubwa na ina watu wengi sana.