Wewe jamaa ni taahirra. Umejitoa akilbora wachina mara mia, kwasababu mabasi yao ni bora, yana kiyoyozi, bei nafuuu na hawachinji kutoa makafara kama ninyi wabongo na mibasi yenu takataka mliyotengeneza bodi kenya. mmetunyanyasa vya kutosha na kwa miaka mingi sana mkipandisha bei mpendavyo, soko huria linaendelea itafika kipindi mtapaki hayo mangarangara yenu garage.
sisi abiria tunachohitaji sio basi la mtanzania, tunachohitaji ni usafiri bora, hatujali ni wa mtz au mchina au mzungu, na hata wewe ukipata hela yako mimi hainihusu ni yako wewe na watoto wako hivyo niko radhi hata kuungana na mchina ili basi lako life kama kutakuwa na maslahi. kwendeni zenu huko chinjachinja ninyi. mlizoea biashara za mabasi kwa uchawi mchina amekuja kufanya biashara kwa kutumia akili, au naye kawazidi nguvu kwa dini yake ya Confucianism?
wewe mwenyewe sio mzalendo, mngekuwa wazalendo msingewanyanyasa abiria kwa bei mtakavyo. kumbuka mnachofanya siku za mwisho wa mwaka na sikukuuu. sisi wasafiri ndio tunaojua uchungu, wewe mwenye gari unayetaka tuwe wazalendo kwako tumefaidika nini toka kwako? kama usafiri hata mchina atatupatia, usijefikiri kuleta magari yenu mnatusaidia msaada. mbona maduka ya wachina bidhaa zao ni bei nafuu, hata tukijumua sisi wengine kwenye maduka ya jumla tunaona faida. kwenye biashara, wakoHute#
Uzalendo umekutoka kabisa. Hizo ajali zinasababishwa na vichochoro vya nchi hii. Hiyo imani ya kafara unayo wewe! Hujui tu ni kwa kiasi gani unanufaika na uchumi kurudi mikononi mwetu wenyewe.
Nikukumbushe tu kabla ya wachagga kushika hatamu kwenye maduka walikuwepo wahindi tu kwenye biashara zote. Kariakoo kiatu kilikuwa hakishikiki, nguo balaa. Mhindi alikuwa hana lugha mbili.
Na magofu yalijaa miji yote.
Leo hii maduka yanamilikiwa na watanzania kwa kiasi kikubwa.... unaona miji inavyopendeza? Magofu yameisha kariakoo. Hata kule mkoani kwako bobobo kuna ghorofa zimejengwa na wafanyabiashara wazawa.
Tahadhari, wachona nao wamevamia tena biashara ya maduka! Endelea kuwasifia. Utawaona hapo ofisini kwako wanafanya kazi ya cashier.
TRA tayari wameingia... ndiyo systems administrators (Tancis)
Guys tuache ushabiki, back to our senses, tuzungumze hawa mchwa wawekewe ukomo. Watatumalizaaaa
chonde chonde msiwafanyie hujuma ya ajari huko barabarani ili kuwaharibia soko...
Hawashindwi hawa....
hawa jamaa wametunyanyasa sana, halafu huyo inaonekana sio mfanyabiashara mwenye akili ya biashara, ndio maana anaogopa ushindani. hao ndio wale wafanya biashara wa magari ambao wanategemea uchawi tu na kutoa makafara hawatumii akili ya biashara. mkipata hela muwe mnaenda hata semina za ujasiriamali walau kidogo ili muwe ana akili ya ushindani, machina akileta basi zuri wewe pia lete zuri na toa huduma bora uone.Mleta mada unanishangaza sana! Tena umesema wewe ni mdau wa usafirishaji. Unalalamika mchina kutoza nauli ndogo,ni soko huria mlivyokuwa mnachaji nauli kubwa mbona hukusikia kilio cha abiria?!
Pili unalalamika mchina anauza gari za zamani ili anunue mpya na bado wewe no mnunuzi! Sasa si uache kununua ukanunue mpya?! Hivyo wanavyofanya ndio inatakiwa sio mnakaa na mabasi mpaka yaue watu kwa ubovu.
Na kuhusu kuondoa basi na abiria watano tu hivyo ndivyo inavyotakiwa,kama unaendesha kampuni inavyotakiwa muda ukifika basi linatakiwa kuondoka hata likiwa na abiria mmoja au muombe umlipe apande basi lingine.
Naona hao wachina watawanyoosha sasa na msipoungana na kuwa professionals watawatoa barabarani.
Na kweli hatushindwi ! Lakini hatujafikia hapo na wala hatuwaxhukii watanzania kwa kiwango hicho!
Ila najiuliza, hivi nyie mnaosupport wachina ni watanzania Kweli?
hivi wakati ule ninyi mnapopandisha nauli wakati wa xmass huwa mnafikiria wagonjwa, watu wanaosafiri kwenda kuona wagonjwa, misiba na mwingien kakopa nauli? huwa mnakuwa wazalendo kweli, nini huwa mnakuwa watz? hakuna watu wabaya kama TABOA hao wamiliki, kwanza mnawanyonya sana madereva wenu wanapata stress hadi wanadondosha magari, dereva akipata ajali akifa familia zao hamzijali, ninyi mnajali pesa tu. unafikiri ninyi ndio wazalendo? ninyi ndio mashetani wa nchi hii. bora wachina waje.Na kweli hatushindwi ! Lakini hatujafikia hapo na wala hatuwaxhukii watanzania kwa kiwango hicho!
Ila najiuliza, hivi nyie mnaosupport wachina ni watanzania Kweli?