Wachina kama walivyo mabeberu wanayasaka mafuta ya Sudan Kusini kwa kila namna

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,627
Cheki Salva anavyohadaiwa na Wachina

FB_IMG_1592417587422.jpeg
 
Kitu ambacho nasifu ngozi nyeupe ni kuwa wanajua kula na kipofu. Na wanakuja jinsi waafrika tunavyopenda kunyenyekewa na kufanywa ''miungu watu''. Nakumbuka kulikuwa na clip ya Makonda alienda China siku za nyuma, ikiona walivyompa ujiko ungedhani ndiye aliyebeba roho zao.
Hahahaa macho_mdiliko siku nyingi hatukutani forum
 
Kitu ambacho nasifu ngozi nyeupe ni kuwa wanajua kula na kipofu. Na wanakuja jinsi waafrika tunavyopenda kunyenyekewa na kufanywa ''miungu watu''. Nakumbuka kulikuwa na clip ya Makonda alienda China siku za nyuma, ikiona walivyompa ujiko ungedhani ndiye aliyebeba roho zao.

Ndugayi pia alienda sijui Korea ile kama sio China, akaimbiwa wimbo wa Taifa (Kiswahili) na warembo.... akabaki kuduwaa tu na ‘kuwarekodi’ kama juha..!!
 
yaani kiufupi WAZUNGU na WACHINA wote sawa hawawapendi ila wanapenda mlivyonavyo
Ila AFRIKA wengi tunaviongozi wahovyo sera zahovyo namifumo yahovyo sijawahi kuishuhudia popote pale DUNIANI
Kwani Miaka iliopita siwalikua WAZUNGU ndio wamewafikisha hapo mlipo
Chamsingi sio wakuwaona bora WAZUNGU kuliko WACHINA sababu wote wanamalengo mamaoja kwetu nayo simengine bali nimaslahi yao ambayo yanataokana nasisi
Naviongozi WENGI wakiafrika kinachozidi kuwaeka karibu na WACHINA nikwamba WACHINA Wanapokua karibu nawewe hawajali kuhusiana nayanayoendelea kuhusiana nataifa LENU sababu hayo nimambo yenu binafsi maadam hayata athiri MASLAHI yake hatakaa awaulize KITU tofauti na WAZUNGU ambao wengi kama siowote hasa WAMAGHARIBI walau wanaongelea kidogo

Mwisho kabisa siungi mkono yanayofanywa na UCHINA ila walau waache wafanye sababu waliowafiksha ama tufikisha hapa tulipo kwaasilimia KUBWA ni WAAFRIKA wenzetu wakishirikiana kwakaribu kabisa na WAZUNGU sasa Ngoma imegeuka hii wawe wapole tukwakweli sasa imefika zamu ya WACHINA kweli WACHINA sio WAZURI ila tunawaona hivi tunavyowaona sababu kubwa yawanaotaka tuwaone hivi NIWAZUNGU sababu kwakiasi KIKUBWA jamaa anaingia sehemu nyingi sana ambazo zinamaslahi yale yale ambayo walitakiwa wayapate wao WAZUNGU

UBEBERU SAWA KUTOKA MATAIFA TOFAUTI TUU AWE MCHINA AMA MZUNGU MUARABU N.K mnatakiwa mjiongeze sasa hamjawahi kujiuliza mnakwamia wapi ?!
 
hata nchi yako leo hii ikiwa super power itafanya hivyo hivyo kama wafanyavyo USA na CHINA. .. ulimwengu ndivyo ulivyo mkuu. . samaki mkubwa anakula samaki mdogo

jambo ambalo waafrica tunalo paswa kulifanya nikujikomoa toka katika haya mazingira ya kutumiwa kama ngazi kwaajili ya mataifa mengine kuweza kupanda kiuchumi na kufikia malengo yao
sisi tujiimarisha ili tuweze kuwa kama walivyo wao kisha tutafute waku watawala...
wajua wakati sisi tunawaona kuwa china na USA ni wabaya kwetu. mbele ya wananchi wao wana onekana kuwa ni mashujaa.. hii ina maana kwamba wema na ubaya wa mtu unategemea na aliposimamia. ...

MKuu yatupasa tutambua kwamba falsafa ina taka pawe na mtawala na watawaliwa so sisi ili tuweze kujikomboa yatupasa tuchague kuwa watawala
 
Ng'wanapagi,

Kitu ambacho nasifu ngozi nyeupe ni kuwa wanajua kula na kipofu. Na wanakuja jinsi waafrika tunavyopenda kunyenyekewa na kufanywa ''miungu watu''. Nakumbuka kulikuwa na clip ya Makonda alienda China siku za nyuma, ikiona walivyompa ujiko ungedhani ndiye aliyebeba roho zao.
😃😃😃😃
 
Hayo mafuta hata kabla ya Sudan kutengana waliokua wanachimba ni wachina wanabadilishana na silaha hapo hakuna jipya.wazungu walioyagundua miaka ya 80 waliondoka na chao maana kukawa na civil war zaidi ya miaka 30.
hatari sana
 
hata nchi yako leo hii ikiwa super power itafanya hivyo hivyo kama wafanyavyo USA na CHINA. .. ulimwengu ndivyo ulivyo mkuu. . samaki mkubwa anakula samaki mdogo

jambo ambalo waafrica tunalo paswa kulifanya nikujikomoa toka katika haya mazingira ya kutumiwa kama ngazi kwaajili ya mataifa mengine kuweza kupanda kiuchumi na kufikia malengo yao
sisi tujiimarisha ili tuweze kuwa kama walivyo wao kisha tutafute waku watawala...
wajua wakati sisi tunawaona kuwa china na USA ni wabaya kwetu. mbele ya wananchi wao wana onekana kuwa ni mashujaa.. hii ina maana kwamba wema na ubaya wa mtu unategemea na aliposimamia. ...

MKuu yatupasa tutambua kwamba falsafa ina taka pawe na mtawala na watawaliwa so sisi ili tuweze kujikomboa yatupasa tuchague kuwa watawala
daah ukweli mchungu...
 
ndio hivyo chief..Mimi binafsi naichukia USA but natambua kuwa nchi yeyote ile ikiwa super power itatenda kama atendavyo USA... cause ndivyo masuala ya utawala yalivyo
Kabsa ila pia ubinafsi waviongozi wengi waafrika unaigharimu afrik
Kimsingi bina adamu tumeumbwa nahulja yaubinafsi ila Afrika imekua zaidi asee
Yaani kunawakati watawala wanatamani wangekua hawafi ili waendelee kutawala nakujilimbikizia mali

Halaf sasa wanachojisahau nikwamba kufa niwajinbu.....
 
Back
Top Bottom