Wachina Huimba muziki wa Aina gani?

Wachina Huimba muziki wa Aina gani?

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,311
Reaction score
109,517
Mbona nyimbo zao hatuzioni Kwenye hizi tv zetu?

Je,
Hao wachina mziki wao wa asili Huimba kwa style gani?

Je, huimba kwa Kufoka foka Kama wanaHIPHOP?
Au kugani Kama kina mrisho mpoto?
Au singeli na vigodoro Kama kina msaga sumu na sholo mwamba?

Au muziki kwao Ni haramu?

Kwakweli maswali kichwani Ni mengi,

Wajuvi karibuni.
 
Blues
 
Wachina kazi kazi, hawana muda na muziki au dini.

Sisi tunataka Wananchi wawe na nidhani ya Wachina wakati tumekubali kufungua milango ya dini, muziki, utandawazi, demokrasia, nk. Ni full kujichanganya ndiyo maana migongano haiishi.
Nimesahau jingine,

Wachina huabudu dini gani?

Au uko nako Ni vurugu vurugu Kama uku kwetu Africa?
 
Mbona nyimbo zao hatuzioni Kwenye hizi tv zetu?

Je,
Hao wachina mziki wao wa asili Huimba kwa style gani?

Je, huimba kwa Kufoka foka Kama wanaHIPHOP?
Au kugani Kama kina mrisho mpoto?
Au singeli na vigodoro Kama kina msaga sumu na sholo mwamba?

Au muziki kwao Ni haramu?

Kwakweli maswali kichwani Ni mengi,

Wajuvi karibuni.
Mnanda
 
Back
Top Bottom