NYENJENKURU
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 1,067
- 299
Tembelea viwanda vya nguo vyote vya Tanzania.Kuna Wahindi hawatoki nje maana hawana vibali kabisa.Mfanao KTM,NIDA,POLYTEX..Kweli Mgamba ,,,,Namsikitika Mtikila ndie mtu pekee alieweza kutamka waziwazi wageni wamezidi waondoke kwao magabachori,hivi mkuu unajua wahindi ndio waliotufikisha hapa tulipo ndio wao waliofundisha kufoji hati mbalimbali ndio wao walioshamirisha rushwa kwa viongozi wetu ndio wao wanaowalete ndugu zao bila x=vibali vya kuishi hapa nishawakuta wahindi kibao kwenye majengo yao wamefichwa hawana viballi wala kiswahilihawajui,achilia mbali kiingereza ,baada ya n,muda wanakuwa mabosi kwenye viwanda vyao ,nikawakia wakipigiana simu Njooni tz hata bila nguo mtarudi kwenu India matajiri,juzi nimewakuta wachina wanapiga siling board TMJ Nje hakuna hata bango la Contractor sijui Board kama wanajua hili na hao wachina wana working permit
kwao kuandamana hakuruhusiwi sasa hapa itakuwaje ?
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???[/QU we ni jambazi la dar?
huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
Tembelea viwanda vya nguo vyote vya Tanzania.Kuna Wahindi hawatoki nje maana hawana vibali kabisa.Mfanao KTM,NIDA,POLYTEX..Kweli Mgamba ,,,,
Ehee hata wameshindwa kumzika kwao!Lol tena Mwekezaji?Ninashaka na kazi yako ilikuwa vipi?Wakuu msiwaponde wachina kwa kila kitu maana kinachowafanya waandamane ndio yale yale ya "ukiona mwenzio ananyolewa....".
Hii kitu (kama ndiyo inahusiana na hii thread) nilisoma jana kwenye gazeti la Mwanachi na kama na sio sign nzuri kwa maisha ya Watanzania.
Siku nyingine Wamarekani (nasikia) waliingilia kati vijana fulani wakamatwe baada ya kushuhudia raia wa nchi zao wakiporwa na kila wakiripoti polisi hakuna kilichofanyika wakati wale vijana wanajulikana kwa watu wengi tu na ukatili waliokuwa wakiufanya katika harakati zao za uporaji!
Mawazo ya wachangiaji wengi yana usahihi lakini kuna haja ya kutafakari 'what is all about this'!
Nimeambatanisha hili tangazo lililotoka kwenye gazeti la Mwananchi jana Jumapili.
View attachment 39277
nipeni namba ya simu ya aliyempiga roba nimpe salio la kutosha ktk akaunt yake .............i wish wangepigwa roba ka 70 ivi + wahindi 2000
leo wachina wataandamana jiji dar es salaam wakiwa ndani ya magari yao zaidi ya 100.[/QU
Kuna mchina mmoja kapigwa roba kule kurasini na kufa .
Mkuu futa hii kauli leo hii kabla jua halijazama.huu ni unyama bora wangemkomba kila kitu lkn sio kuuwa
labda watakuwa majambazi kutoka arusha lkn wa dar wastaarabu hawauwi hovyo
na watanzania walio china ndugu zetu nao wakiuliwa tusemeje tuwapongeze wauwaji???
Si warudi kwao??leo wachina wataandamana jiji dar es salaam wakiwa ndani ya magari yao zaidi ya 100.[/QU
mkuu nimekumiss sana.kiembe mbuzi utakuja lini?ukija unijulishe.usifanye kama siku ile unaniambia upo kiembe mbuthi kumbe ushaondoka.hahaaa..karibu sana.mia
Sasa mambo gani ya kusababishiana foleni zisizo na mpango?kwani huyo aliyepigwa roba ya mbao hadi kufa anatofauti gani na wengine wanaopata adha kama hizo?me naona warudishwe kwao tu wamepewa lifti wanaanza kupiga na honi tena.