Watu saba walifukiwa ambapo kati yao watatu wameokolewa na wamelazwa katika Kituo cha Afya Katoro.
Tukio hilo limetokea saa mbili asubuhi. Mkuu wa Wilaya ya Geita Herman Kapufi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Chanzo: Mwananchi
Mkuu uwe na utu basiWakifa kidogo hivi usituambie sisi tunataka wengi ili tukusanye rambirambi sawa.
R I p watafutaji.
Umetumia kinywaji gani?Wakifa kidogo hivi usituambie sisi tunataka wengi ili tukusanye rambirambi sawa.
R I p watafutaji.
Nina utu soma maelezo yangu viziri, nimetania mwisho nikawa muungwana.Mkuu uwe na utu basi
Ni hiki hiki mkulu alisema kinawekwa kwenye soda. Au hukikumbuki??.Umetumia kinywaji gani?
OkNi hiki hiki mkulu alisema kinawekwa kwenye soda. Au hukikumbuki??.
Babati, bina wasiwasi hukuelewa nilichoandika.