Wachimbaji wanne wafa Geita kwa kufukiwa na kifusi

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
ggg.jpg

Geita.Wachimbaji wadogo wanne wamekufa baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo madogo ya nyamalimbe yaliyopo wilayani Geita mkoani hapa.

Watu saba walifukiwa ambapo kati yao watatu wameokolewa na wamelazwa katika Kituo cha Afya Katoro.

Tukio hilo limetokea saa mbili asubuhi. Mkuu wa Wilaya ya Geita Herman Kapufi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Chanzo: Mwananchi
 
Machimbo haya sasa yanazidi kugharimu maisha ya watu

Poleni sana waathiriwa wote wa mkasa huo wa ajali ya mgodi
 
Wakifa kidogo hivi usituambie sisi tunataka wengi ili tukusanye rambirambi sawa.
R I p watafutaji.
 
Back
Top Bottom