Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 520
Binafsi mi sioni tatizo kutoa draw ki mchezo ni bora draw kuliko kufungwa (bora nusu shali kuliko shali kamili).
Ila kama shabiki wa Yanga na niliyeshuhudia mechi nzima kwa kweli wachezaji wa Yanga hamkututendea haki kipindi cha pili kabisa...mlionesha mchezo mbovu sana na wa kiwango cha chini as if siyo yanga.
Habari zinaendelea kusema wachezaji wa Yanga walianza kushangilia ushindi wakati wa half time (this is totally unprofessional)
Kwa kweli wachezaji wa yanga tuombeni msamaha sie mashabiki kwa kuruhusu goli tatu za kizembe na kucheza kipindi cha pili as if mlikuja kufugwa.
binafsi nilidhalilishwa na matokeo hayo huku mtaani Simba inaoneka imeshinda game ilo watu hatuna raha mmetuharibia juma tatu yetu..maofisini na majumbani tumekunja sura hatuna raha.
Nina hasira sana kwa niaba ya mashabiki waote wa yanga walioumia ka mimi naleta kilio chetu